Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Duuh kumbe ulikuwa kigagula!, Mungu Mwema!
 
Kama ulinunua uza.. Kama ni urithi rithisha.. Dhana ya kuchoma moto ni kiini macho.. Kwakuwa roho haziungui wala hazifi
Matendo 19:19 "Wengine waliokuwa wameshughulikia mambo ya uchawi hapo awali, walikusanya vitabu vyao, wakavichoma mbele ya wote. Walikisia gharama ya vitabu hivyo, wakaona yafikia vipande 50,000 vya fedha. "
Ndio maana nasema we bado lichawi
 

Nanukuu: " ... nikapata wepesi wa mwili na roho.. Nikaokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku..." Nadhani pia ulipata "amani" ya pekee. Nami hali hiyo ilinitokea usiku wa Alhamisi, Desemba 23, 1993 nikiwa chumbani peke yangu wakati nasoma SUA.

Hongera sana kwa kushukiwa na neema na rehema za Mungu wetu anayetuvumilia na kuchukuliana nasi katika mengi mno. Yeye anahitaji imani yetu tu kwake.
 
Matendo 19:19 "Wengine waliokuwa wameshughulikia mambo ya uchawi hapo awali, walikusanya vitabu vyao, wakavichoma mbele ya wote. Walikisia gharama ya vitabu hivyo, wakaona yafikia vipande 50,000 vya fedha. "
Ndio maana nasema we bado lichawi
Kama mtu anasema ameokoka na kuacha uchawi, kwa nini wewe unapinga? Wewe ndiye umemwokoa? Kila anayeacha uchawi ni lazima achome zana zake?

 
Unaweza kuwa danganya wote na hata kujidanganya wewe mwenyewe ila siyo mimiπŸ‘ΆπŸ‘ΆπŸ‘Ά kwa hiyo wewe ni mtakatifu.wa Mungu...wewe ulicho fanya nikubadili tu mitindo ya uovu...ni sawa na muislamu kuacha uislamu na kuwa mkristo wa makanisa au kinyume chake ...ukweli ni kwamba Wakristo na waislamu wa sasa duniani dini ya ni moja nayo ni DINI YA SHETANI
 
Matendo 19:19 "Wengine waliokuwa wameshughulikia mambo ya uchawi hapo awali, walikusanya vitabu vyao, wakavichoma mbele ya wote. Walikisia gharama ya vitabu hivyo, wakaona yafikia vipande 50,000 vya fedha. "
Ndio maana nasema we bado lichawi
Walichoma vitabu sio tunguli.. Maneno ya Mungu yanasema... Usihukumu usije ukahukumiwa
 
mwisho nikuombe usisite kuendelea kumkiri Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yako, ninaamini ktk hili Mungu anakutumia kuzidi kuwatoa watu wake ktk vifungo vya ulozi..πŸ’ͺπŸΏβœŒπŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…