Ewaaaa! Ndio maana nakupenda shee๐Shee kuna vitu viwili ambavyo huwa haviepukiki hata katika mazingira magumu navyo ni DHARURA NA SOS! kwa hiyo usijali shee..๐
Amina ๐Thanks kaka mkubwa. Kwenye ukimya na utulivu Mungu wetu huonekana
Usiku ukiyatandika yanakuja kukutolea hasira JF kukicha!๐ ndio maana nilikuwa sijibishani nao.. Kwakuwa nilikuwa najua kinachoendelea..
uliuza shi ngapi mkuuIli nipate kianzio cha maisha
Meditation sitaki hata kuisikia kidogo initoe roho.
Wiki mzima nilikuwa kwenye uvuli wa mauti kwa sababu ya hiyo meditation
Ananinyanyasa sana huyu mkwe wa mchongo๐คฃ๐คฃHahahaha๐คฃ๐๐ฟ๐๐ฟ
Nitajie mkuu mana kuna mtu anataka kuniuzia naona kama anataka kunipiga ela nyingi๐ฉ๐๐ Sisemi mkuu
Mganga ni yeyote anayetibu na/au pia huitwa Tabibu. Ukienda vituo vya afya kuna waganga, wengi si wachawi. Kwahiyo ipo tofauti kubwa ya uchawi na uganga, japo wengine hufanya yote.mganga na mchawi wote wako sekta moja ila tofauti ni vitengo, ndio maana ukizoea kwa waganga unaweza kuwa mchawi bila kujua.
Mganga ni yeyote anayetibu na/au pia huitwa Tabibu. Ukienda vituo vya afya kuna waganga, wengi si wachawi. Kwahiyo ipo tofauti kubwa ya uchawi na uganga, japo wengine hufanya yote.