Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Anti alikuwa mwana sana, kwa hiyo nilimdokeza kama nimepata demu Mpalestina, mkali kinoma ngozi maji ya kunde. Kipindi hicho ndio nimemaliza chuo kikuu
Akaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina. Akanitolea mifano kibao tu, sikumbishia kwa sababu sina exposure yeyote na tabia za watu. Hata nilipomuuliza mwanangu Mtui akaniambia dogo, tena mimi usinihusishe kabisa kwenye huo ushemeji.
Ila ukweli mchungu wa shangazi unazidi kujipambania wenyewe.