secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wachaga siku hizi tunaitwa wapalestina kutokana uzi fulani wa min -me (ambaye mama yake ni mpalestina) kutamba sana.Bongo Kuna kabila la wapalestina ?
Wachaga siku hizi tunaitwa wapalestina kutokana uzi fulani wa min -me (ambaye mama yake ni mpalestina) kutamba sana.Bongo Kuna kabila la wapalestina ?
Bora hata mmefanya hivyo, maana angekuwa anagongea kiingereza kila muda na kuwafanya mjisikie wanyonge na kujiona hamjakwenda skuli.Mimi kwetu walimkataa Mhaya
Huruma si malezi.Na hachekeshi kweli ukizingua unakula buti la shingo bwashee
Kabisa,😅mimi hata wanawake wanaowabamiza waume zao wanapolewa na kusahau majukumu nawaunga mkono sanaHuruma si malezi.
Wachambuzi wa mambo watakuambia haijaisha mpaka iishe.Kaka yangu kaoa mpalestina. Kwa sababu ya mapenzi alituambia ni MKIBOSHO. Tulikuja kujua ni mpalestina baada ya mwaka. Sasa wana miaka 12 kwenye ndoa na wanaishi vizuri. Wana watoto watatu, wamejenga, etc. tena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
Wapalestina hawana shida kabisaKaka yangu kaoa mpalestina. Kwa sababu ya mapenzi alituambia ni MKIBOSHO. Tulikuja kujua ni mpalestina baada ya mwaka. Sasa wana miaka 12 kwenye ndoa na wanaishi vizuri. Wana watoto watatu, wamejenga, etc. tena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
Hata mimi 😎Kabisa,😅mimi hata wanawake wanaowabamiza waume zao wanapolewa na kusahau majukumu nawaunga mkono sana
Sasa unakuta jamaa ni levi tu , halichangii chochote likivunjwa mbavu hilo ni sawa tu, kuna lishemeji langu la kizaramo lilevi lisilo na mchango, dada yangu yupo mbioni kulivunja mbavu , utasikia milio kwa wachaga.Hata mimi 😎
Wenzako husema: 'ngozi rangi ya mtume'😆😁.Anti alikuwa mwana sana, kwa hiyo nilimdokeza kama nimepata demu Mpalestina, mkali kinoma ngozi maji ya kunde. Kipindi hicho ndio nimemaliza chuo kikuu
Akaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina. Akanitolea mifano kibao tu, sikumbishia kwa sababu sina exposure yeyote na tabia za watu. Hata nilipomuuliza mwanangu Mtui akaniambia dogo, tena mimi usinihusishe kabisa kwenye huo ushemeji.
Ila ukweli mchungu wa shangazi unazidi kujipambania wenyewe.
Mwambie dada yako akodi watu wa kulivunja mbavu hilo jinga. Akilivunja mwenyewe wachaga tutasakamwa hadi tujute.Sasa unakuta jamaa ni levi tu , halichangii chochote likivunjwa mbavu hilo ni sawa tu, kuna lishemeji langu la kizaramo lilevi lisilo na mchango, dada yangu yupo mbioni kulivunja mbavu , utasikia milio kwa wachaga.
😅 hakikaMwambie dada yako akodi watu wa kulivunja mbavu hilo jinga. Akilivunja mwenyewe wachaga tutasakamwa hadi tujute.
subiri apitishwe ivi na hamtaona mali ata mojaKaka yangu kaoa mpalestina. Kwa sababu ya mapenzi alituambia ni MKIBOSHO. Tulikuja kujua ni mpalestina baada ya mwaka. Sasa wana miaka 12 kwenye ndoa na wanaishi vizuri. Wana watoto watatu, wamejenga, etc. tena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
Hiyo ilikuwa lugha ya picha ya kutokukubaliana na kitu.Kwa hiyo ulioa shoga kama alivosema
...hapo nimejinyima sana, ilitakiwa nisema...kabla sijasoma hizi masters zangu 2 na professional courses zangu 2Wapalestina hawachekeshi kukuua ni dkk Moja tu
Hasibu kulikuwa na haja gani ya kusema umemaliza chuo kikuu😁