EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 4,043
- 7,296
Sasa subiri kaka ako atangulie ndo utaona catalyst inavokusanya mali zake hamtanusa ata jagitena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
Sasa subiri kaka ako atangulie ndo utaona catalyst inavokusanya mali zake hamtanusa ata jagitena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
😁...hapo nimejinyima sana, ilitakiwa nisema...kabla sijasoma hizi masters zangu 2 na professional courses zangu 2
Kwao wapi? Pitia comments ikusaidie kufungua codesUnamuoa ukiwa bongo au ukiwa huko kwao? Kama hapa hapa bongo weka ndani ila kama kwao chovya tu potea
Wahaya hawana noma ila vibuli sana, kama mtu wa kunyooka kama mimi hiyo familia ndoa hata wiki haifikiMimi kwetu walimkataa Mhaya
Hiyo ilikuwa lugha ya picha kusisitiza jambo, husikiagi mtu akisema bora nifee kuliko ku.....Hasibu sasa umeenda mbali, hadi uoe shoga tena? Em kuwa serious basi.
😂😂😂😂, leo hii Wanawake wa kimachame ni wabaya kuliko Mashoga, nachokaa mie kabisaa.
😂😂😂
Ulidhani Mimi ni mnani mkuu? 😂Kumbe na wewe ni mchaga ?
Sasa kama kaka yake hana kitu atavishwa sanda kwa kitu gani?Wachambuzi wa mambo watakuambia haijaisha mpaka iishe.
Aunty yako Dr. Mariposa au cocastic manake hao nahakika huo utakuwa ushauri wao😂🤣🤣Akaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina.
😅😅Sasa kama kaka yake hana kitu atavishwa sanda kwa kitu gani?
Hakuna familia ya kiafrika shangazi anaweza kukushauri hivi. Labda kama umeamua kutuletea stori ya uongo na kutunga kama ilivo kawaida yakoAkaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina.
😂😂😂 kwanini lakini??Aunty yako Dr. Mariposa au cocastic manake hao nahakika huo utakuwa ushauri wao😂🤣🤣
Naelewa, 😂😂😂Hiyo ilikuwa lugha ya picha kusisitiza jambo, husikiagi mtu akisema bora nifee kuliko ku.....
Ni suala la muda tu, hao huwa haiishi hadi iishe.Kaka yangu kaoa mpalestina. Kwa sababu ya mapenzi alituambia ni MKIBOSHO. Tulikuja kujua ni mpalestina baada ya mwaka. Sasa wana miaka 12 kwenye ndoa na wanaishi vizuri. Wana watoto watatu, wamejenga, etc. tena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
Ila wa bongo, ilibaki kidogo nitoke kapa😂🤣Kwamba mpalestina ni mmachame sio 😄
Basi jambo langu limeisha , nataka niowe uchagani naomba unipe link ya ustadhat mmoja swafi 😎😎Ulidhani Mimi ni mnani mkuu? 😂
Huyo atakuwa mke wa ngapiBasi jambo langu limeisha , nataka niowe uchagani naomba unipe link ya ustadhat mmoja swafi 😎😎
Ndio nataka kuanza moja , sina na sijawahi kuwa na mkeHuyo atakuwa mke wa ngapi
AstaghafirullahAkaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja