Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Bongo Kuna kabila la wapalestina ?Wapalestina hawachekeshi kukuua ni dkk Moja tu
Hasibu kulikuwa na haja gani ya kusema umemaliza chuo kikuuπ
Umetoka kapaUnamuoa ukiwa bongo au ukiwa huko kwao? Kama hapa hapa bongo weka ndani ila kama kwao chovya tu potea
Wachaga wa machame haoBongo Kuna kabila la wapalestina ?
Kwamba mpalestina ni mmachame sio πUmetoka kapa
Kumbe Luca mambwa ni mhayaπMimi kwetu walimkataa Mhaya
Ety kipenzi changu aliambiwa aoe shoga kuliko mmachame π ππππ nani tenaa?
πππ watu wamevurugwaa sasa khaaah.Ety kipenzi changu aliambiwa aoe shoga kuliko mmachame π π
Wamachame wamekuwa topic mpka za kubuni turudi kwa dolly ππππ watu wamevurugwaa sasa khaaah.
Kwa hio ikawaje sasa ukawapelekea Shoga au?Ila ukweli mchungu wa shangazi unazidi kujipambania wenyewe.
You better wochi yua bakiAnti alikuwa mwana sana, kwa hiyo nilimdokeza kama nimepata demu Mpalestina, mkali kinoma ngozi maji ya kunde. Kipindi hicho ndio nimemaliza chuo kikuu
Akaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina. Akanitolea mifano kibao tu, sikumbishia kwa sababu sina exposure yeyote na tabia za watu. Hata nilipomuuliza mwanangu Mtui akaniambia dogo, tena mimi usinihusishe kabisa kwenye huo ushemeji.
Ila ukweli mchungu wa shangazi unazidi kujipambania wenyewe.
πππWamachame wamekuwa topic mpka za kubuni turudi kwa dolly π
Hasibu sasa umeenda mbali, hadi uoe shoga tena? Em kuwa serious basi.Anti alikuwa mwana sana, kwa hiyo nilimdokeza kama nimepata demu Mpalestina, mkali kinoma ngozi maji ya kunde. Kipindi hicho ndio nimemaliza chuo kikuu