Niliona kama anti yangu ni mkabila, kumbe alihitaji kusikilizwa

Kaka yangu kaoa mpalestina. Kwa sababu ya mapenzi alituambia ni MKIBOSHO. Tulikuja kujua ni mpalestina baada ya mwaka. Sasa wana miaka 12 kwenye ndoa na wanaishi vizuri. Wana watoto watatu, wamejenga, etc. tena mwanamke ndo catalyst kwenye hayo maendeleo
 
Wachambuzi wa mambo watakuambia haijaisha mpaka iishe.
 
Wapalestina hawana shida kabisa
 
Wenzako husema: 'ngozi rangi ya mtume'๐Ÿ˜†๐Ÿ˜.
 
Sasa unakuta jamaa ni levi tu , halichangii chochote likivunjwa mbavu hilo ni sawa tu, kuna lishemeji langu la kizaramo lilevi lisilo na mchango, dada yangu yupo mbioni kulivunja mbavu , utasikia milio kwa wachaga.
Mwambie dada yako akodi watu wa kulivunja mbavu hilo jinga. Akilivunja mwenyewe wachaga tutasakamwa hadi tujute.
 
subiri apitishwe ivi na hamtaona mali ata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ