Niliona kama anti yangu ni mkabila, kumbe alihitaji kusikilizwa

Hasibu sasa umeenda mbali, hadi uoe shoga tena? Em kuwa serious basi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, leo hii Wanawake wa kimachame ni wabaya kuliko Mashoga, nachokaa mie kabisaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo ilikuwa lugha ya picha kusisitiza jambo, husikiagi mtu akisema bora nifee kuliko ku.....
 
Akaniambia mwanangu kwenye familia yetu ni bora uoe shoga ijulikane moja kuliko kutuletea mkwe Mpalestina.
Hakuna familia ya kiafrika shangazi anaweza kukushauri hivi. Labda kama umeamua kutuletea stori ya uongo na kutunga kama ilivo kawaida yako

 
Ni suala la muda tu, hao huwa haiishi hadi iishe.
 
Ila wanawake wa kimachame ni wazuri sana sura, shape ila shida ipo kwenye hiyo kasumba inayoimbwa daily. Nilishakuwa nae mmoja mzuri sana ila akitaka chake atafanya kila namna akipate. Kuna kipindi aliniona na simu ya 3 akawa anataka nimpe ila nikamdanganya hakunielewa hadi kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…