KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025.

Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia malipo yangu kulipwa bado ametia ngumu licha ya kuwaandikia Barua na kuwasainisha.

Kinachouma zaidi, uliyeondolewa naye alikuwa MSIMAMIZI wangu licha ya kuweka kando bado wameendelea kumlipa mwezi wa pili amelipwa na akakatwa fedha yake kulipa deni kwa utaratibu ambao mpaka leo fedha ile haieleweki.

Maana hakuna control number yoyote iliyotengenezwa kuongeza malipo hayo lakini wakati akilipwa mie kwa upande wangu malipo yamezuiwa.
 
Back
Top Bottom