Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

Nikiwa mdogo miaka ya 2008 Kuna dada jiran yetu alipata kazi sehem flan ni hotel na inaupande wa Bar basi habari zikaenea kuwa anafanya kazi bar kila mtu mtaani alimchukulia Kama malaya kutokana na kitndo Cha kufanya kaz kweny hiyo hotel

Baada ya muda flani yule dada akaugua kwa muda mref Kama miez 4 hapohapo habari zikabadilishwa kuwa tayari ana ukimwi, watu wakaanza kumtenga kiaina ulipofika mwaka 2010 akajitokeza babu wa loliondo duuh na yeye si akaenda bana eeh ndo ikapigiwa mstari kuwa huyo kawaka jumla jumla

Kuna wengine pia walioenda loliondo kwa maradhi mengine Kama kisukari wakiamin babu wa loliondo atawatibu Ila walivyorudi tu tukawa tunaambiwa kuwa wana ukimwi kiukweli tulikua tunawaogopa sana hapo na miaka 13 ilikua nawakimbia
Suala la kunyanyapaa watu kisa ukimwi had sasa bado lipo ila halina ukali ule wa miaka ya 2000's ilikua noma mgonjwa anakufa kwa mawazo siyo maradhi tena
 
Hawakumbagua Ila walichukua tahadhari ....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah jamaa kweli mzimu wa HIV ulimkaa, eti akinywa coca vinapotea, duh
 
Doooh! Imenichekesha kwerikweri.
Ingekuwa ni Mimi sijui tusi ambalo ningelitoa.
 
Kwani hawa wameanza kutumia simu lini πŸ˜€πŸ˜€
 
Daah aisee hii noma snaaa
 
Njombe kuna mahali nilikuta mpaka majirani wanapitiana kwenda kuchukua ARV. Siku ya kugawa dozi utadhani kuna soko, kumbe ni foleni ya ARV.
Kwa nn njombe maambukizi yapo juu? Kama Ni barid mbna moshi, arusha na lushoto kuna barid sana lakn maambukiz yapo chni?
 
Sawa mkuu usikasirike sasa mwee [emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana. "Suspicions however grave cant be the basis for Conviction".Wabongo ndo maana wengi washirikina sababu ya kuishi kwa ramli ramli na kuhisi hisi
huyu mwanasheria naye sijui katokea wapi. sasa mambo ya conviction yanaingilia wapi kwenye mada hii.
 
Chunya ndio sanaa

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
So huyo mpenzi wako alifarariki mwaka 2007 na ndio mkaanza na huyo spicy, so mwaka 2007 kulikuwa hakuna vocha za buku?
 
Nakumbuka niliwahi shiriki tamasha la kuchana ishi kampeni shy town broo Ali Mainofu Kupuya akiitumbuiza akitoka school tukutu ya Blb aka Buluba, na imagine nikiwa std yeye akiwa cha nne na tukaja ajiriwa mwaka mmoja .
 
Umeamua kutufokea tu brother,hao ISHi walipima wagonjwa chini ya certified medical officer,waliokuwa hawagawi vipimo...
The HIV and Aids(Control and Prevention)act Cap 431 has been amended to allow HIV self testing in November 2019,and the amendment become amidst 1 of Dec 2019..

Kuhusu simu hakuna mtu
kakupinga,Soma vizuri.

Anyway pole na majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…