Nilioyaona kwa mkapa Yanga mna haki kabisa kuruka ukuta kimbien hizo getiii zao octb19

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Uchawi hautakaa uishe

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange

Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala

Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban

Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie

Yanga 5 vs simba 2

Octb 19

Kwa nkapa
 
Huko utopoloni wajinga wanazidi kuzaliwa kila kunapokucha.
 
Uchawi hautakaa uishe

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange

Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala

Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban

Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie

Yanga 5 vs simba 2

Octb 19

Kwa nkapa
Hzo mbili watapita ukuta gani ili wazipate?
 
Uchawi hautakaa uishe

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange

Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala

Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban

Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie

Yanga 5 vs simba 2

Octb 19

Kwa nkapa
Simba machawi sana na bahati mbaya yanatuma watoto kuweka ulozi.
 
Yanga 5 vs simba 2😂😂😂
 
Ndiyo maana wanaenda Amani complex?
 
GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg
 
Uchawi hautakaa uishe

Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange

Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala

Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban

Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie

Yanga 5 vs simba 2

Octb 19

Kwa nkapa
Kuna maeneo ukiwadhibiti Simba utawafunga mpaka uchoke mwenyewe, kwanza pata taarifa za wanacho Fanya uwanjani kabla ya mechi, pili vyumba vya kubadilishia nguo, tatu maeneo utakayopita.
Ukiwadhibiti maeneo ayo umewaweza kwasasa uwanjani hawana timu ya kupambana na Yanga, uta wabutua unavyo taka.
 
Simba machawi sana na bahati mbaya yanatuma watoto kuweka ulozi.
Yanga mbinu zenu za kuishusha Simba ni za hovyo sana.Ipo siku hao mnaowavalisha jezi za Simba huku wakiwa mashabiki wa yanga wataumbuka na kuumia.
 
Wenzetu majuu wakichambua mchezo unajikuta wamekuelewesha kitu huku kwetu Wachambuzi wa bongo ukiwasikiliza unatamani we ndio uwaongezee uelewa
 
Attachments

  • VID-20240924-WA0052.mp4
    7.1 MB
Back
Top Bottom