Acheni uchawiYanga mbinu zenu za kuishusha Simba ni za hovyo sana.Ipo siku hao mnaowavalisha jezi za Simba huku wakiwa mashabiki wa yanga wataumbuka na kuumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni uchawiYanga mbinu zenu za kuishusha Simba ni za hovyo sana.Ipo siku hao mnaowavalisha jezi za Simba huku wakiwa mashabiki wa yanga wataumbuka na kuumia.
TFF wameubariki Ulozi wa Mbumbu sc, Hawa wajinga wamezoe Ulozi na ndio maana hawana haibu ktk suala nzima la Ulozi.Uchawi hautakaa uishe
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange
Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala
Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban
Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie
Yanga 5 vs simba 2
Octb 19
Kwa nkapa