Uchawi hautakaa uishe
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange
Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala
Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban
Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie
Yanga 5 vs simba 2
Octb 19
Kwa nkapa