Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.

1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.

2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.

3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.

4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.

5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.

6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
 
Sawa ila kwanza kabisa ulipaswa kumshukuru mama...
163192.jpg
 
🚮
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
 
Tutawezaga tukirudisha akili zetu, kwa sasa tuendelee kumsifia kafulia na miradi yake ya upigaji wa ppp
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Hatuwezi kuwafikia.mfano angalia mpangilio wa makazi wa afrika namna ulivyo holela halafu linganisha na Kwa wazungu utaona kabisa tulitakiwa kusimamiwa ili Nchi ipangwe.
 
Umefika China au Dubai ukaona mpangilio? Hilo ni suala dogo hasa kwenye utandawazi huu. Siyo lazima kila kitu tukifikie leo au kwa pamoja.
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Mbona hao China walitawaliwa pia?
 
Hata Singapore ilitawaliwa, tuache utetezi wa kijinga.
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
We nawe ni punbaf, yaani aache kushangaa australia akashangae sharjah? Huna ujualo
 
Back
Top Bottom