Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Na ni ubinafsi wa viongozi wetu Africa inajitosheleza yenyewe hata tukirotate bidhaa hapahapa Africa si chakula si matibabu. ..sio technology ndo hivyo tuko butu lkn sisemi au sikubaliani na wanaosema Africa hatuna akili.,akili ipo nyingi kubwa tatizo ubinafsi na kutojitoa 100 kwa viongozi
 
Back
Top Bottom