Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Maisha sio mashindano na yeyotre au nchi yeyote cha msingi ni uwe na furaha kwenye maisha yako popote ulipo uwe mjini au kijijini ,Africa au Australia au Ulaya au marekani kwenye maisha uishiyo

Furaha ndio mwamuzi .
Haya mambo ndiyo yametufikisha hapa tulipo.
 
Maisha sio mashindano na yeyotre au nchi yeyote cha msingi ni uwe na furaha kwenye maisha yako popote ulipo uwe mjini au kijijini ,Africa au Australia au Ulaya au marekani kwenye maisha uishiyo

Furaha ndio mwamuzi .

Maisha ni mashindano bwamdogo, hamna maskini mwenye furaha rekebisha kauli yako ya kusubmit ujinga wetu!
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Canada haifikii Australia mkuu. Labda tuwe tunatofautiana kuhusu tafsir halisi ya maendeleo.
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Hatuna akili mkuu, Chawa hawezi kuwa na akili, mwenye akili hatawaliwi anatawala, kitendo cha mkoloni mmoja au wawili kusimamia msafala wa watumwa zaidi ya 20 wakioita porini toka ujiji hadi pwani nikipimo tosha.
 
Tatizo wala sio hao wazungu kuondoka mapema, tatizo ni akili ndogo na ujinga...

Nenda Mbezi Mwisho pembezoni mwa road ya kwenda stand uone wabongo wenye akili walivyotengeneza mabanda yao na wala hakuna anayewasimamia kuonesha namna bora ya kujenga mabanda ya biashara...
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Canada is the best,ila ukiwa unatoka Zanzibar unaingia DSM ndo utajua jinsi gani tuko kijiji kikubwa,wala tusijadanganye na Hawa paka wa Lumumba,tuko nyuma kweli kweli. Ukiwa unashuka Toronto, Montreal na Quebec na Halifax Walahi utajua DSM ni Kijiji cha ujamaa,vile vimitumbwi na vile wanagombani dagaa pale.
feri guys tufanye kazi,ni hayo tuu.
 
Mkuu lini hio? Sasa hivi kizingizio ni voongozi wabovu huku mnawachagua wenyewe.
Hivi nchi 54 zote Africa shida ni viongozi? Kwa nini shida isiwe wananchi ?
Mbona Nigeria mtu mmoja( Danhote) asie kiongozi kaleta mapinduzi ya viwanda na sasa nishati.
Kwa nini tusibadili mtazamo na lawama ?
Kwani huko west wanaoleta mapinduzi ni serikali au wananchi ? Mie kama msomaji wa Fizikia na hesabu kila nikisoma historia huwa naona biography ya mtu mmoja mmoja sio serikali au viongozi labda kwa baadhi ya project mfano manhatan. Lakini project nyingi ni mawazo ya watu.
Google comp ni mtu alianzisha sio serikali au viongozi. Tesla ni Mtu. Apple ni mtu, Benz ni mtu, White brothers walikuwa wawili wanafanya tafiti zao za mdege,
Davince ni mtu.
Kwa hio maendeleo makubwa makubwa yameletwa na watu. Hata hapa home MOE , Bakhresa ni watu
Mpaka lini tutaendelea kulaumu viongozi, wewe wajibu wako ni nini ?
Madudu mengi sana TZ hayafanywi na viongozi bali watendaji na wafanyakazi wa kawaida sana.
Kama viongozi wameshindwa wananchi hawana mbadala ? Kama hawana basi shida ni AKILI vingine ni visingizio tu.
 
Tembelea China naamini ukirudi hutahudhuria mkutano wowote wa Wanasiasa wa Tanzania. Wachina wakiamua kuanzia leo wasifanye maendeleo yoyote itatuchukua miaka 2000 (elfu mbili) kuwafikia
 
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.

1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.

2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.

3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.

4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.

5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.

6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
Koo sisi bado tunaishi nnchi za giza mwanangu🤔🤔
 
Ni nchi Zuri sana ila imeanza kuwa kama third world wahindi wamekuwa wengi sana mpaka raia wa nchi hizi wameanza kulalamika
 
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.

1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.

2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.

3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.

4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.

5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.

6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
Umeandika nini sasa?
 
mimi wakuu nilikuwa naomba ile speech ya Donald Trump raisi mteule wa marekani akiongelea kuhusu watu weusi.
 
Back
Top Bottom