Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Watu weupe walishajijengea Misingi na Mitizamo mizuri tokea zamani. Sababu walishajua maendeleo kwa sekta yeyote msingi mkuu ni Mtoto, Inatakiwa akazaniwe tokea udogoni, afundishwe kua Disciplined.

Mtoto anaezaliwa Australia hata kama ni Poor family utakuta anafundishwa kustaarabika toka akiwa mdogo hivyo anakua Mentallity perfect, Ijapo sio wote ila walau 7 ya 10.


Mentallity ya kijana wa miaka 25 Australia huwezi ukaifananisha na ya mzabzab zee la papuchi au Poor Brain mzee wa Action first maneno baadaye.

😂!
😂😂😂😂🙏
 
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.

1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.

2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.

3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.

4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.

5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.

6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
Ahsante kmmk, nimefurahi kmmk
 
Nyerere alichemka kuwaondoa waingereza tukabaki kudumaa na uswahili wetu, fuatilia nchi kama Marekani, Canada, Australia, Newzealand ambako waingereza waliendelea kubaki namna zilivyopiga hatua za kimaendeleo.
 
Umeandika ulichojifunza Ila sijaiona Kama umejifunza chochote zaidi ya kulalamika.
Ziara Kama hizo zinawafaa wenye akili na sio kilaza Kama wewe, wenye akili wakitoka huko wanakaa chini na kujiuliza sisi tumekwama wapi na tufanyeje ili tujikwamue SEMA wewe ulienda kushangaa.
Wenye akili wala hawahitaji kwenda kujifunza huko, wanafanya mambo kuoingana na mazingira yao. Tukubali tu kuwa kwa asilimia kubwa hakuna kitu, hatuna uwezo...unajifunza nini wakati teknolojia yote ipo kwao?
 
Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Weupe wote uliowataja, wametupita, waarabu , wachina, wazungu na haipo namna yoyote tutawafikia. Mtoa mada apewe mauwa yake. Mbali na utawala mbovu wa Mwafrica bado fikra zake ni finyu. Unamuwekea umeme anaiba mafuta ya transformers na nyaya, unamuwekea maji anang'oa coke, unamuwekea taa za barabarani anapiga mawe nk nk nk. Mwafrica ni binadamu daraja la nne na la mwisho
 
Mgao wa chawa upo palepale chawa wa mama, chawa wa Mbowe,chawa wa Lisu, chawa wa Makamba, chawa wa Simba na Yanga, chawa wa Diamond na Ali kiba.

Kwhy hata huyo Poor Brain nae ni chawa tu kama walivyo akina boni yai .... Nchi itabaki kuwa ya machawa forever!.dahari
Duuh! Mimi nitoe kwenye hiyo list mkuu, Mimi sio chawa.
 
Back
Top Bottom