Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Afu maduka ya dawa na pharmacy nyingi siku hizi wanajali kuuza dawa tu na sio kutibu... Me nakushauri ongea na wazee wakuelekeze dawa za asili... Sio uende kwa waganga aaah... Yaan ujaribu kuangalia wazee ambao umri umeenda...
Sawa mkuu
 
Nenda Tena hospital kubwa zaidi
 
Jamani hebu tupunguze upuuzi, hii nyuzi za gono humu zinaingia kila wiki, mods siku hizi hamjui kuunganisha mabandiko yanayofanana? yan umalaya ufanye pekeako then ushauri na tiba utafute JF, mnachosha.

Ok Mkuu chukua pilipili kichaa isage iwe unga then paka sehem ya kojoleo. ndani ya saa moja we n mpya
 
Usikate tamaa br waone wataalamu utapona tu,kila tatizo linakuja tujifunze tuone tunakwamaga wapi!?

 

Kwanza pole sana.

Unatakiwa kwenda hospitali na kufanya kipimo cha "Culture and Sensitivity" ambacho ni kama kinaangalia dawa gani itaweza kutibu ndani ya maabara kabla ya kukupa dawa. Yani unapewa dawa baada ya kuona dawa inaua hivyo vidudu, si kwa kubahatisha.
 
Kama umeyatimba kwa kumpata huyu mwamba wa kuitwa Supa gonorea basi shughuli unayo tena pevu ng'wanawane. Na ukipona usirudie tena huo uzembe!



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…