Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #101
Yeah mkuuDemu aliyekupa ni pisi Kali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mkuuDemu aliyekupa ni pisi Kali?
Sawa mkuuAfu maduka ya dawa na pharmacy nyingi siku hizi wanajali kuuza dawa tu na sio kutibu... Me nakushauri ongea na wazee wakuelekeze dawa za asili... Sio uende kwa waganga aaah... Yaan ujaribu kuangalia wazee ambao umri umeenda...
Nenda Tena hospital kubwa zaidiNilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Jamani hebu tupunguze upuuzi, hii nyuzi za gono humu zinaingia kila wiki, mods siku hizi hamjui kuunganisha mabandiko yanayofanana? yan umalaya ufanye pekeako then ushauri na tiba utafute JF, mnachosha.Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Hizo ndiyo faida ngono
Kupiga kavu kavu
Mkiambiwa mvae condom mnasema zinawabana
Mkiambiwa ngono ni gharama hamsikii
Check gharama zake
Ulilipia chumba
Ulilipia msos
Ulimpa pesa ya posho
Ulitumia nauli
Ulipoteza muda wako
Alikupa zawad ya gono
Unahangaika kumeza madawa tena makali hizo zinaitwa strong antibiotics ukitumia mara kwa mara unaharibu maini,na figo
Sawa mkuu shukrani sanaUsikate tamaa br waone wataalamu utapona tu,kila tatizo linakuja tujifunze tuone tunakwamaga wapi!?
Ebu weka kalio lake nisaminisheYeah mkuu
PoaSawa mkuu shukrani sana
Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Jamii Forums ni Forum ya Jamii sio madaktari.Huwa nakereka sana post hizi ambazo sio ushauri wa kidakitari
Hayo magonjwa dalili zinafanana fanana, ungetumia na dawa za fungus pia kwa pamojaNilipimwa nikaambiwa ni gono mkuu
www.medicalnewstoday.com
Hizo dawa ulizotumia ni sahihi,lakini kuna shida ya usugu siku hizi,magonjwa hayasikii dawa,hizo sindano wenzako wanachoma mpaka 10.Mkuu hapo nikibadilisha hospitali itakuwa ya tatu na kila sehem imenitoka pesa c chini ya 50k
Unataka kumuua???Nunua Chrophenical 12 mimina unga changanya na glass moja ya Konyangi, kunywa mara moja, masaa manane hutoona usaha hata kidogo zaidi Utakojoa sana