Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Ukimpiga spana za kutosha anakugeuza bebe wa kimwandiko, jamaa muhuni sana
😹😹😹 lijanja linaona hapa nimezidiwa bora nimbebishe yaishe..!!
Ananichekeshaga sana, mwanzo lilivyonichokoza nilipanic ila nikamsoma nikaanza kumchefua kumuita wifi, nikaona kachange gia angani..!!
 
Ndo kama hiyo akonayo huyo, alijifanya kitombile saiv yupo kututangazia yaliyomsibu mwenyewe mkorofi atakuwa kashaunasa na kadudu kake kakikatika itapendeza sana
Maisha ni safari dada , haujafika bado! Uwe unaongea na kushauri na kuweka akiba ya maneno , siku ikiwa upande wako kwa namna nyingine usikutane na aina ya ushauri na maneno kama yako.
 
Maisha ni safari dada , haujafika bado! Uwe unaongea na kushauri na kuweka akiba ya maneno , siku ikiwa upande wako kwa namna nyingine usikutane na aina ya ushauri na maneno kama yako.
narudia tena akome gono apate mwingine mahubiri unipe mimi kwani ndo niliyemwambukiza🤣🤣🤣 mlie na genye zenu msilaumu watu
 

Sitasahau hii kitu, gono SGR hilo! Ilinitesa sana mwaka 2022 na niliitolea hapo Tanga!!

Dawa nilizoponea hata sizijui!! Maana nilishakuwa confused, nachojua nilipigwa drip mkono wa kulia na kushoto dawa tofauti, vidonge vya kumeza kama sita na sindano kwa wakati mmoja!! Wiki nzima nimelazwa!!

Pole sana, nenda Kenya ndiyo wanajua tiba yake maana limejaa huko!!
 
Dsm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…