Ndio maana wenyeji wa huko wote wamekimbilia Dar wameshaondoka kwao, ndio nyie hamtaki tena kurudi kwenu.Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo...
Ishi Dar ukiwa na maisha mazuri,sio ugombanie Mwendokasi na Madaladala kila siku,sio uishi Chumba kimoja na majiko na mitungi ya gesi,sio uishi nyumba kwenda kuoga ni kwa foleni,ni kupoteza mudaKwa mikoa ya Tanzania ni kweli Dar ndio kila kitu husibishe, kwani huoni Ata wabunge wenu mkisha wachagua wanakuja kuishi Dar
Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo...
Kwa mikoa ya Tanzania ni kweli Dar ndio kila kitu husibishe, kwani huoni Ata wabunge wenu mkisha wachagua wanakuja kuishi Da
Mwanuhuzi, Lalago, Igangabilili
Nilipita Kiangazi Na Kuna Shida Ya Maji SanaMkuu hizo wilaya ukienda kipindi cha kiangazi unaweza toa machozi.
Not surprising, halafu shule zao hazina matundu ya choo kwa ajili ya wanafunzi kujisaidiaUtakuta mbunge, mkuu wa wa mkoa, mkuu wa wilaya husika ni wana magari ya milioni 400+ huko
Aiseeh kuna watu mnatembea mimi kuishi kote Kahama ila hayo maeneo siyajui zaidi huwa nanyoosha barabara had Mwanza nageuka tena.Nilipita Kiangazi Na Kuna Shida Ya Maji Sana
Nilipita Kishapu, Meatu, Maswa, Itilima, Simiyu, Busega, Bunda, Serengeti, Tarime, Rorya, Mara, Nikarudi Mwanza, Ilemela, Misungwi ?Ngudu, Ukerewe
Inategemea na majukumu yako ndugu. Mie nchi hii nimebakisha Mtwara na Mara pekee, ndiko sijagusa ardhi yake. Kwingine nimefika mpaka wilayani na vijijini kabisaAiseeh kuna watu mnatembea mm kuishi kote Kahama ila hayo maeneo siayajui zaidi huwa nanyoosha barabara had Mwanza nageuka tena
Utakuta mbunge, mkuu wa wa mkoa, mkuu wa wilaya husika ni wana magari ya milioni 400+ huko
Dah! Hongera kwa hilo mkuu.Inategemea na majukumu yako ndugu. Mie nchi hii nimebakisha Mtwara na Mara pekee, ndiko sijagusa ardhi yake. Kwingine nimefika mpaka wilayani na vijijini kabisa
Ujinga mzigo sana, hapa jamaa hajaongelea kipato cha mtu mmoja mmoja. Ameongelea uhalisia wa maisha ya watanzania.Kuishi kwako Dar una Salio shilingi ngapi kwenye Akaunti yako ya Bank au ndio walewale walamba lips kusindikiza wengine?huko unakokukandia ndiko kuna watu darasa la Saba tu au Form Four lakini akikuonyesha balance yake Bank unaweza ukajikojolea,acha ushamba wa kudhani Dar ndio kila kitu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wewe nawe una majungu tu! Tarime ipi hiyo unaisema ina maisha duni? Mbona hata wilaya ya Busega iko barabara kuu ya Mwanza Musoma ambapo pia kuna mji mdogo wa kibiashara unaitwa Lamadi!Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo.
Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji.
Safari ya maendeleo bado ni ndefu sana nchi hii.