Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

Tafsiri yake basi Mkuu legendary
 
Maisha ni duni sana pande zile ila ni vigumu wewe kuona tofauti kwasababu unaishi huko.
 
Mtoa hoja anaongelea nini uwepo wa lami, ndiyo kigezo? Ungeongelea fursa za watu katika maeneo hayo kupata kipato na kufanya shughuli zao, hali ya usalama, upatikanaji wa huduma za kijamii...

Hayo maeneo yote uliyosema yana sifa za mwanadamu kupata mahitaji yake ... Unless ulikuwa unatafuta lami, naamini hata mtaani kwako hapo Dar hakuna lami...

Unajisifu na lami ya Samora au Bagamoyo road, na maeneo mengine... Lakini mitaa mingi ya Dar hakuna barabara za uhakika zenye lami, mvua zinazonyesha sasa zimeonyesha madhaifu mengine... Maendeleo yanakuja pole pole...

Hayo maeneo unayoyasema hakuna lami, watu wanaishi maisha ya kiwango cha maana sana...Mtoa mada umeonyesha utoto sana.
 
Na huko ndiko inakopatikana dhahabu kwa wingi hapa nchini
 
Sasa kwani Mkoa hakuna watu wanaishi na hivyo umetaja hapo au zaidi? Wengine wanalala hadi na mifugo....

Au ulitaka kumaanisha nini?
 
Mwanza ipi?
 
Nchi hii ni shthole Kaka najuta kuwa na familia laiti nisingekuwa na familia bora ningezamia kama wale Walibya wanafariki majini wakizitafuta ndoto zao kwenda Ulaya harafu nakuta majitu yanaiba pesa nyiiiingi na kukingiana kifua Bungeni.

Nimemwambia mdogo wangu asioe wala kuwa na familia hadi atakapozamia kwenda nje ya nchi na tampa sapoti hadi atokomee very stpd country.

Ukifika uliko mgodi mkubwa wa Dhahabu wa BULYANHULU ukitokea Kahama ni vumbi na mashimo tu barabarani. Yaani nina hasira naweza kuchinja kabisa kiongozi yoyote anayeingia Bungeni Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…