Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Nchi kubwa hii chief bado hujafika Ileje.Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo.
Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji.
Safari ya maendeleo bado ni ndefu sana nchi hii.
Mwanangu umeichakaza kanda ya ziwa[emoji1544]Nilipita Kiangazi Na Kuna Shida Ya Maji Sana
Nilipita Kishapu, Meatu, Maswa, Itilima, Simiyu, Busega, Bunda, Serengeti, Tarime, Rorya, Mara, Nikarudi Mwanza, Ilemela, Misungwi ?Ngudu, Ukerewe
ur talking yourself man no one understand what ur talking about hereI got that pull of Sammy the Bull
Stopping fools with half tank
All the way to the bank, not even full
Abrasive, Jurassic, aim like Luca Brasi
With double decker rhymes I'm passing Causing a stink, to the brink of the ring king
Cause I'm fasting while farting in Farsi
Rumi to roomies, Baba T groomed me
Til I "Who me'd? Houmid like I'm the Mardi Gras Mahdi
Til I Don Vito, incognito, records like Beatles
Hotter than Cheetos
Standing higher than Quito
Ecuadorian keto through the keyhole
I'm in effect, keeping tribes in Czech
Non aligned I move like Nyerere and Tito
Don't catch my drift, hey, such a rift?
I suggest you roll spliff and take a toke for a lift
I Sayonara, with gems like sonara
I bid you adieu from Bora Bora to Kimara
Good lookin' out my dude.You already know.
Namna ulivyoiwasilisha hii comment ni kama vile inafuta ukweli wa alichokisema. BTW nimefika Maswa, Kishapu na nimeishi kwa muda MeatuUshukru pia kwa mafuriko mnayoendelea kupambana nayo huko jiji chafu.
Usiweke hisia kali sana yeye kazungumzia maendeleo ambapo ni kweli hata mimi nimewahi pita huko umaskini uliopo si wa kifichika unaposema huko kuna watu wenye salio sasa kama una salio na unakaa maeneo mabovu salio lako linafaida gani si bora waswahili wa dar wanajulikana ni maskini ila wanaweza badili maziingira hizo sehemu zilizotajwa aloo hata kama kuna mwenye pesa basi hakai huko.Kuishi kwako Dar una Salio shilingi ngapi kwenye Akaunti yako ya Bank au ndio walewale walamba lips kusindikiza wengine?
Huko unakokukandia ndiko kuna watu darasa la Saba tu au Form Four lakini akikuonyesha balance yake Bank unaweza ukajikojolea,acha ushamba wa kudhani Dar ndio kila kitu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
You need to speak for yourself.ur talking yourself man no one understand what ur talking about here
Huyo ni wakuhurumia tu! Sasa Dar anayoisema ni ujinga mtupu!Tarime itoe. Wako vizuri san
Embu niambie pale Mwanuzi au Meatu hayo maisha ya maana ulikuwa na maana gani?Mtoa hoja anaongelea nini uwepo wa lami , ndiyo kigezo ? Ungeongelea fursa za watu katika maeneo hayo kupata kipato na kufanya shughuli zao, hali ya usalama, upatikanaji wa huduma za kijamii... Hayo maeneo yote uliyosema yana sifa za mwanadamu kupata mahitaji yake ... Unless ulikuwa unatafuta lami, naamini hata mtaani kwako hapo Dar hakuna lami... Unajisifu na lami ya Samora au Bagamoyo road, na maeneo mengine... Lakini mitaa mingi ya Dar hakuna barabara za uhakika zenye lami, mvua zinazonyesha sasa zimeonyesha madhaifu mengine... Maendeleo yanakuja pole pole... Hayo maeneo unayoyasema hakuna lami, watu wanaishi maisha ya kiwango cha maana sana...Mtoa mada umeonyesha utoto sana
Umaskini wa lake zone unatisha na dhiki ya maji, barabara nk ni aibuKuwa na CCM ni mkosi mkubwa sana tuliourithi
Kama vile Mwanza, Arusha hamna wanaokunya kwa foleni. Hivi nyie huko shamba mna hela?Unaishi Dar ukitaka kwenda kunya ni kwa foleni nyumba za kupanga uswazi huko,halafu unajimwambafai nipo Dar[emoji1745]ni unasindikiza wenzako
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wao ni swala au punda?Watu wa huko wanajivunia kuishi kwenye sehemu ambayo ipo katika uasili wake kwahiyo we waache tu
Hapana, bado hatujajipanga vizuri, tunaendelea kujipanga. Laana haipo kwa wa-Tanzania; Mungu hawezi kuruhusu hiloTumelaaniwa
Umemaliza kila kitu mkuuEmbu niambie pale Mwanuzi au Meatu hayo maisha ya maana ulikuwa na maana gani?
Kutoka Bariadi kwenda Magu kupitia Mbiti, Ngulyati, Nyanguge mpaka Kisori Kuna maisha gani?
Maji shida, mto Simiyu una tabia za kukauka.
Wamekonda Ng'ombe mpaka Binadamu
Unyafuzi kila Kona au michembe ndio itawaokoa!?
Tukubali ukweli maana sio udhaifu pia
Ambalo mama zenu wanalitakaUshukru pia kwa mafuriko mnayoendelea kupambana nayo huko jiji chafu.
Uwepo wa mgodi unahusika vipi na maendeleo ya eneo husika?Kwani huko si ndipo kuna migodi mingi kushinda kanda yeyote hapa Tanzania?
Umekasirika sanaKuishi kwako Dar una Salio shilingi ngapi kwenye Akaunti yako ya Bank au ndio walewale walamba lips kusindikiza wengine?
Huko unakokukandia ndiko kuna watu darasa la Saba tu au Form Four lakini akikuonyesha balance yake Bank unaweza ukajikojolea,acha ushamba wa kudhani Dar ndio kila kitu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwanza ushalipwa pesa zako na mysol?Mimi leo na PhD yangu kichwani lakini Dar nakuja kikazi tu na kurudi Mkoani kwa sababu Mkoani ndio kila kitu,kumbuka Ajira nilianzia Dar hapo na nina uwekezaji wa nyumba kadhaa lakini leo ukiniambia nirudi Dar kuishi ni mbinde
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app