Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Tunaposikia mtu flani ameua mwenza wake aisee inabidi tutafute chanzo kabla ya kuanza kulalamika
 
Machalii wa Arusha hawako kindezi ndezi hivo wew hupajui arusha umesimuliwa tu umesimulia kiboga boga Sana itakuwa mtu wa Lindi huko
Nyie huko si kuna yule teleza amekuwa akiwabinjua wake za watu huko...au siyo arusha hiyo

Ova
 
🤣🤣🤣Hio mitaa ina vibaka,huo mtaa wa nyumba za udongo unaitwa bongonyoo 🤣🤣

Unapitaje kwa kutembea saa tano usiku upo na mwanamke?
 
🤣🤣🤣Hio mitaa ina vibaka,huo mtaa wa nyumba za udongo unaitwa bongonyoo 🤣🤣

Unapitaje kwa kutembea saa tano usiku upo na mwanamke?
nilikuwa sijawahi kukutana na vibaka, hivyo nilifikirigi ni story tuu
 
Dogo acha uongo, yaani upambane na wahuni sinoni halafu in no time wawe wameshafika na dem wako matejoo? Yaani kwa haraka haraka umbali from sinoni to matejoo ni kama ubungo to manzese tiptop,,,,, sasanhao wahuni walikua wanapaa?
ni bongonyoo nilichanganya jina, me siijui mitaa ya chuga vizuri hivyo nilikuwa na bahatisha tu kwa majina
 
Machalii wa Arusha hawako kindezi ndezi hivo wew hupajui arusha umesimuliwa tu umesimulia kiboga boga Sana itakuwa mtu wa Lindi huko
au siyo, haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…