Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Siku chache nilipomuonya LEMA aache Siasa za kuhalalisha Serikali ya CCM.
Sista Nyahozi anakuja kusema 'Mbona LEMA Kaongea vizuri tu , Mbona Bon Yai Kaongea vizuri " na sijaongea neno.
Ila anapoongea HECHE , Sista Nyahozi anakuja kubweka kama Mbwa !!!.
Heche shikilia hapo hapo, na huo ndo Mwelekeo wa Chama !!.

Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.
Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29, ilikua ni HAKI ZAO ZA KISIASA yaan kuzuiliwa kwa CHADEMA, kukamatwa kwa Lissu.
Ni Ukweli huohuo kwamba, CCM hawakua na Uchaguzi mwingine zaidi ya Kuiruhusu CHADEMA Kufanya Siasa zao , CCM kwa Matukio ya Oktoba 29 hawana kabisa namna yoyote ta kuendelea kuipiga Pini Chadema.
Nini kinatafutwa sasa ...

- Carlos The Jackal
- lema mo29
- Replies: 20
- Forum: Jukwaa la Siasa