Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

Skuhizi arusha inanuka mavi ya mashoga wenye rasta😂😂😂😂😂😂
 
Kwa ule ugali wanaolishwa wanafunzi wa shule za serikali, lazima ugali uitwe chakula cha masikini, wangekuwa na uwezo wasingekula zile pumba zilizokorogwa na maji machafu
 
Ulichelewa sana kujua , sisi wenye makazi ya kudumu huko tunaelewa , mimi nikirejea Tanzania naenda Mwembeyanga nyumbani kwangu , hebu pata picha
 
ni kawaida ya Zamwamwa akikuta choo ni kichafu badala ya kufanya utaratibu wa kusafisha anarudi ndani kutegea kufanyiwe na mwingine.... Ain't good bora ungenyamaza na ningekuwa huyo driver ningekushusha kwenye gari yangu, Shame.
 
Anachokifanya Lema ni ulimbukeni wa kuishi nje ya nchi. Anaonekana hakuwahi kuvuka boda kwenda ng'ambo before.

Tangu arudi kutoka Canada anaona Bongo Kama tupo motoni/jehanamu. Kila kitu kwake ni uchafu na umasikini.
Alafu chakula ni utamaduni, mfano ngano kuna watu tunauwezi wa kununua ngano, kilo hamsini kwa mwez, ila sijazoe kula mfulurizo vyakula vitokanavyo na ngano, hata kilo 10, haziishi kwa mwezi.

Wali kula mfurulizo siwezi, mchana nile ugari, ndizi ama chakula kingine, usiku ndipo nile wali.
Kusema ugari ni chakula chamaskini siyo kweli, ama kwasababu unaliwa Tanzania,. sijui kama anajua kuna watu wanakula ugari wenye thamani ya Tsh. 15000 mtu mmoja na huo ni mlo mmoja tu.
 
Mzee wangu kabla ya kustaafu enzi mkwere alipata kisafari cha kutembelea sweeden na norway kama wiki tatu hivi alivyorudi bongo akatuambia kabisa ndugu zanga hapa tunateseka balaa kuanzia hali ya hewa na uchafu umasikini uliotopea nk yaan pipa lilivyofika tu usawa flan ivi wakutua walipokelewa na kivumbi cha bati zenye kutu iliyobobea akasema yes apa unyamani
 
Mkuu kuna hadithi moja nilisikia sijui ni kweli ama ni utani tu; 'kwamba mwimbaji wa Marekani - Maiko Jackson alikuja Bongo, alipotua airport Dar tu alikumbana na hali ya hewa chafu ikamlazimu kushikilia pua yake na safari yake ikaishia hapo hapo na kurudi kwao . Kama hadithi hii kweli ina maana hatujapiga hatua kwenye kuiweka USAFI kwenye miji yetu?
 
alitimba mpaka ikulu masta akaket na grandpa ruksa, mwamba alikua anamatatizo yake ya upumuaji na surgery ya pua ata kwao alikua anavaa barakoa muda mwingi kwa ufupi that nigga was very delicate,
Ila all in all ukitoka nje ya bongo ukapata exposure ukirud unajua kabisa tunateseka na utawachukia wanasiasa maana wao wana exposure kubwa na wana nafas ya kufanya mabadiliko ila hawafanyi kitu zaid ya ukwapuz tu
 
Ahaaa anaweka 4, haya tujuze alipiga music?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…