GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na leo narudia tena kusema hicho hicho kuwa Simba SC iwaombe TFF iwape Yanga SC alama (points) zao Sita (6) kwani kamwe kwa aina ya Viongozi Wanafiki na Virusi Watano walioko Klabuni akiwemo Msemaji Ahmed Ali Simba SC haitoifunga kamwe Yanga SC.
Kwa kujiamini kabisa leo narudia tena kusema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali ni Kirusi Kikubwa kilichojificha ndani ya Simba SC ila ameshawateka Akili Mashabiki Wapumbavu wanaomtetea na kudhani ni Mwenzao. GENTAMYCINE sijawahi Kukosea kwa nikisemacho.
Mnamlaumu Mwenyekiti Mangungu kuwa anatuumiza huku mkiwa mmewasahau Wengine akiwemo Kocha Msaidizi Matola, Mratibu wa Timu Abbas, Salim Abdallah "Try Again" na Msemaji wenu Ahmed Ali. Haya njooni tena hapa Mnitukane na bahati nzuri hata leo nilisema katika Uzi wangu mwingine kuwa Simba SC itafungwa.
Kudadadeki......!!!