Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Simba SC isipoteze muda Kucheza na Yanga SC na iwape tu Points zao 6 nilikosea au nilikuwa sawa?

Tabu Simba haikubali kua young Ina uwezo mkubwa zaidi hivo inahitaji kucheza kwa mbinu zaidi na sio kwa kukamia.
Haya unakamia alafu wenzako Wana relax wanakutia pressure unajiweka,

Young Ina play kwa mbinu na sio kujikomoa kukamia mchezo.

Rudi nyuma tazama Ile yanga ya kipindi kile Cha bakuli, derby waliiheshimu na wakati mwngi hawakua na muda wa kuchezea mpira wao ni defense na kushtukiza mashambulizi.
 
ITOSHE TU KUSEMA WEWE NI GENIUS...ULIWASHAURI WAKUPE HELA UWANUNULIE WACHEZAJI HUKO UGANDA WAKABISHA SASA WATAKIPATAPATA PALE KWENYE NAFASI YA PILI DHIDI YA AZAM NA SINGIDA
 
Na bado Kudadadeki.....!! Si huwa wanajifanya Kunidharau GENTAMYCINE pale nikiwa nawaambia mambo yaliyojificha!!
Mifumo au system ya simba imedukuliwa..wajipange watengeneze timu..ila jana mkeka umetik weekend yangu ipo freesh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…