Niliposema Mayele ni overrated na ni striker wa kawaida mlidhani natania

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
🛑JEMEDARI SAIDI

Niliposema Mayele ni overrated na ni striker wa kawaida mlidhani natania, nadhani kila mtu ameshuhudia jinsi alivyo wa kawaida sema anapambwa tu na Gongowazi FC.

Msimu wa pili mfululizo sasa Mayele anakosa kiatu cha ufungaji bora NBCPL, mwaka jana kwa George Mpole mwaka huu kwa Saidoo Ntibazonkiza.

Msije sema amechukua kiatu cha CAF sababu CAF hawanaga tuzo ya mfungaji bora wa Shirikisho (kombe la waliofeli)

 
Inabidi tuishauri TFF ili mechi mfungaji bora zichezwe moja tu kwenye neutral ground. Alisikika utopolo mmoja akifoka kwenye kijiwe cha kahawa
 
Kama kweli kasema hivyo sasa naamini huyu jamaa Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga analiwa kiboga.
 
Siyo kweli umemsingizia, hajasema hivyo, anaweza kuwa na chuki zake lakini hajasema hivyo, na ni mshabiki mkubwa sana wa mwamba Fiston Mayele.
 
Ligi ya Tanzania ina games fixture ichunguzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…