joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sioni anapokosea,zilikosea ni kanuni hawaja ziweka,mbona msimu uliopita kulikuwa kuna kanuni zinazo ongoza kumpata mfungaji bora,why msimu huu.Mayele Msimu iliopita alikuwa na na goli 16 kwenye ligi.Kama angekuwa amefunga 20+ unafikiri huu mjadala ungekuwepo? Mayele ni mchezaji mzuri tukiweka ushabiki pembeni ila anakosa magoli mengi mno kutokana na nafasi anazozipata.
Kama atasalia ktk ligi hii msimu ujao anayo nafasi ya kujiuliza tena ni wapi anakosea na kisha atasahihisha makosa yake.
Ila msimu huu mpaka sasa Mayele anajumla ya goli 32,17 za ligi na 15 za mechi zote alizocheza CAF.
Kukosa magoli ni sehemu ya mchezo wa mpira,ila huwezi kusema mchezaji mwenye magoli 32 ni overated,labda kama mnataka mabishano ya kusogeza mda wa kula dona.
Ila ndio tunarudi palepale kila mtu ana uhuru wa kuongea, ila hata kichaa na mwendawazimu nao ni watu.