cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mwaka jana hawakulinganaa, Mpole alizidi bao 1.Shida ipo kwa Mayele au TFF watunga kanuni za mashindano.
Mbona msimu uliopita waliwekwa wazi why naow wana vigugumizi.Wee umeona mfungaji bora mpaka wadiscuss wakati msimu uliopita ilikuwa direct sababu kanuni zilikiwepo.
Mwaka huu wamelingana na saidoo ndo kazi ilipo.
Afu wamesema kanuni zilibadilika huu mwaka.