Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye.

Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na kujifubaza wenyewe. Tuacheni Utoto. Tuchezeni mpira uwanjani, haya ya kuwatumia marefa na wachezaji wengine kuturahisishia mechi zetu.

"Mnashinda lakini mnashinda kwa maarifa siyo, hayasaidii kutoa mchango wa ninyi kuendelea. Ndiyo maana mnashinda hapa hapa tu, mkiingia huko mkafika round ya kwanza, ya pili, NJE! Ni kwasababu ushindi wenu hautokani na kuwekeza katika kuuendeleza mchezo.

Mkikutana na watu msiyowajua, hamna wa kuzungumza naye basi, moja kwa moja mnafungwa"
 
Kiukweli yanga angeshinda dar walau goli mbili all hilal wasingetoka.ona mlivyowadhibiti kwenye boli contirori.lakini mjukuu anachelewa kuja duniani
 
Ni kweli waliwalipa simba washinde mwaka huu nilishasanuka hilo simba ni imara yanga ni makopo
 
Nimeamini wenye akili uto ni wawili
ila kuna wajinga wale ambao hawana akili watakuja kumpinga
si unajua mjinga kwenye watu wengi anavyopenda sifa
 
Kiukweli yanga angeshinda dar walau goli mbili all hilal wasingetoka.ona mlivyowadhibiti kwenye boli contirori.lakini mjukuu anachelewa kuja duniani
hapo ndo Simba anapotoboaga,Simba akisimama na kauli mbiu yake kwa Mkapa hatoki mtu alafu akishinda au kudroo ugenini mechi moja au mbili tayari anatinga robo.
 
Kuna wakati tunazodoana mitaani kiwivu na kishabiki lakini kiukweli ukikaa mafichoni kama taifa unaumia moyo.yanga walituliza mpira sana jana ila ndo r.i.p tena.
 
Timu bosi kawa na chawa kibao haiwezi kufanya vyema hata siku moja
 
Kiukweli yanga angeshinda dar walau goli mbili all hilal wasingetoka.ona mlivyowadhibiti kwenye boli contirori.lakini mjukuu anachelewa kuja duniani

Ni Sawa na jinsi Simba sc walivyowafunga Orlando Pirates goli 1 hapa nyumbani wakenda kututoa kwa penalty kule kwao. Ile game tungewafunga magoli Hata 2/3 tungeingia nusu fainali ya CAFCC
 
Ni Sawa na jinsi Simba sc walivyowafunga Orlando Pirates goli 1 hapa nyumbani wakenda kututoa kwa penalty kule kwao. Ile game tungewafunga magoli Hata 2/3 tungeingia nusu fainali ya CAFCC
Ni kweli Simba alikuwa ana uwezo wa kumtoa Pirates.
 
Ukiangalia Simba alianza taratibu msimu mmoja kabla alitolewa na Shandy raund ya pili kabisa CAFCC,baada ya hapo tukafuzu makundi ila tulipigwa sana 5 zile away baada ya hapo msimu uliofata tuliuwasha sana unaona kuna maendeleo kabisa na ndio maana saiv Simba hashangilii makundi anawaza Robo na Semi..Mashabiki wa Yanga acheni kuipa presha timu yenu mna timu nzuri sana Kinakosekana ni uzoefu tu ..mkitulia mkaiamini mtafika mbali CAFCC punguzeni Expectations Kuwa na timu nzuri haina maana timu yako ni bora ..
 
Back
Top Bottom