Wale wazoefu wa unuaji vitu mtandaoni huwa wanazingatia vitu vitatu kabla ya kununua
iterm description specification comments za wanunuaji wengine ziada ni additional comment za watumiaji baada ya kununua bidhaa hiyo
Vitu vingine ambavyo tunajichanganya sisi ni kutojua baadhi ya terms/maneno yanayotumika huwa yanaanisha nini mfano mtu ananunua nguo na anaona nguo ni nzuri sana ila hajui hajui zile material za nguo ni za aina gani mpaka aisheke so online hapo lazima ulie ka SHISHI na gauni lake la harusi, kikubwa ni kujitahidi kujua size, weights,colour, na vingine muhimu ambavyo vinatofautisha bidhaa husika