Nilipotaka kuingia mkenge wa kununua bidhaa Ali -express

Nilipotaka kuingia mkenge wa kununua bidhaa Ali -express

Ah unajua mitandao ya simu nayo imekuwa na gharama kuliko mabenki. Siku izi mawakala wa benki kila chochoro, bora uwe na akaunti benki tu.

Mimi Equity wananipiga kwenye exchange rate only kama ni foreign currency. Waliniuza GBP 1 kwa 3400!! Card yangu nimeunganisha na Paypal, sasa kuna time bidhaa ata kama ipo in USD au GBP lakini nikataka kufanya malipo nikiingia paypal, ile amount inakuwa converted in TZS na paypal wenyewe, ikitokea ivo basi huwa nalipa exact amount ilionesha paypal (rate afadhali) ila sijui kwanini siku izi paypal haibadili currency.
Mkuu kile ki WiFi kidogo cha kutembea
Nacho kinafika shingap huko AliExpress
 
Easy kufungua akaunti, unapewa kadi siku io io
Wanaonekana wako vzur nmeangalia site yao wanahtaji ktambulisho cha taifa tu. Mm sna national ID nategemea kwenda na leseni ya udereva. A hope it'll work
 
Back
Top Bottom