Wajinga hawajawahi kuisha duniani halafu ndio wengi kuliko wajanja........Dah! Mzee mwenzangu hapa nnavoandika imeshafika Tz na nilimuagizia mtu
Hii thread yako imekua kama mwiba kwangu[emoji24]
Weka picha ya shishi na shela lakeWale wazoefu wa unuaji vitu mtandaoni huwa wanazingatia vitu vitatu kabla ya kununua
iterm description specification comments za wanunuaji wengine ziada ni additional comment za watumiaji baada ya kununua bidhaa hiyo
Vitu vingine ambavyo tunajichanganya sisi ni kutojua baadhi ya terms/maneno yanayotumika huwa yanaanisha nini mfano mtu ananunua nguo na anaona nguo ni nzuri sana ila hajui hajui zile material za nguo ni za aina gani mpaka aisheke so online hapo lazima ulie ka SHISHI na gauni lake la harusi, kikubwa ni kujitahidi kujua size, weights,colour, na vingine muhimu ambavyo vinatofautisha bidhaa husika
Pole mkuuDah! Mzee mwenzangu hapa nnavoandika imeshafika Tz na nilimuagizia mtu
Hii thread yako imekua kama mwiba kwangu[emoji24]
Zipo bidhaa unalipia pia zipo ulipii zinakuja bureHivi huwa ukinunua bidhaa aliexpress....unatumia freeshiping au huwa unalipia?
vitu kama flash,simu,saa huwa mnatumia makampuni gani kuvisafirisha na mpaka kukufikia huchukua muda gani?
kuna makampuni wana recomend kutumia kama dhl unakuta gharama ni kubwa zaidi ya bei ya bidhaa,hapo huwa unafanyaje?Zipo bidhaa unalipia pia zipo ulipii zinakuja bure
Muda zinachuku mwezi kwa uzoefu wangu japo zingne ata kabla ya mwezi zinafika
Makampuni ya kusafirisha ni pale unaponunua bidhaa utaona na unaweza kuchagua kama zipo mbili na zaidi.
Binafsi nikikuta shipping cost ni kubwa naacha naangalia kwa muuzaji mwngne sababu unaweza kuta bidhaa iyo iyo mwingine usafir bure mwngne unalipia apo uchagz ni wakokuna makampuni wana recomend kutumia kama dhl unakuta gharama ni kubwa zaidi ya bei ya bidhaa,hapo huwa unafanyaje?
kikuu nimeona bidhaa nyingi ni free shipping je kuna ukweli?
ha haa haaa mombe Shishi akutumieWeka picha ya shishi na shela lake
Sawa,mkuu nimekuelewa sana,nitafuata maelekezo yako.Binafsi nikikuta shipping cost ni kubwa naacha naangalia kwa muuzaji mwngne sababu unaweza kuta bidhaa iyo iyo mwingine usafir bure mwngne unalipia apo uchagz ni wako
Zipo bidhaa nying tu free shipping na nyingne unalipia
mfano iyo Nokia apa juu refurbished ni free shipping apo
View attachment 1817961
Alafu hii hapa ya chini sawa na iyo ya juu usafiri unalipia elf 12
View attachment 1817962
Inategemea na kampuni, hayo makato hayafanani baina ya kampuni na kampuni. Voda wanakata around Asilimia 4 ya thamani ya Bidhaa.Hivi ukiweka kwenye Visa card kuna makato ya kununua au wanakata hela ile ile ya kuparchase tu
sent from HUAWEI
Inategemea na benki yako. Mimi natumia Equity, hakuna transaction fees ukinunua bidhaa/service onlineHivi ukiweka kwenye Visa card kuna makato ya kununua au wanakata hela ile ile ya kuparchase tu
sent from HUAWEI
Natumia m-pesa master card wamenikata km sh 19000 kwa bidhaa za 450,000/-Inategemea na benki yako. Mimi natumia Equity, hakuna transaction fees ukinunua bidhaa/service online
Nafikiria kufungua acount equity maana hz local banks naona zna ujima mwingi sanaInategemea na benki yako. Mimi natumia Equity, hakuna transaction fees ukinunua bidhaa/service online
Ah unajua mitandao ya simu nayo imekuwa na gharama kuliko mabenki. Siku izi mawakala wa benki kila chochoro, bora uwe na akaunti benki tu.Natumia m-pesa master card wamenikata km sh 19000 kwa bidhaa za 450,000/-
sent from HUAWEI