Mimi napenda safari za pikipiki dereva awe makini ila akimbize hadi nihisi tunapaa, tufike sehemu tupumzike. Tule halafu TULE halafu tuendelee na safari. Dear hubby najua upo humu, Natamani Hili lifanyike na nakuaminia kipande hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu huwa wanajiona akili na mawazo yao ndio bora zaidi kuliko wengine
True ila hizi za sasa nasikia sikia tu pasua kichwa kidogomkuu naendesha boxer mwaka wa tano huu amini ukiitunza boxer utaish nayo maisha marefu sana ila ata kama ikiwa ya mwaka gani usipo itunza mzee nayo itakutupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokwenda Tabora, hufiki Singida. Unachepukia kushoto mara tu baada ya kutoka Manyoni. Pale kwenye mzunguko (Round about).Wakati mwingine lala hata Singida, Usi tembee usiku maana sio sawa!
Unapokwenda Tabora, hufiki Singida. Unachepukia kushoto mara tu baada ya kutoka Manyoni. Pale kwenye mzunguko (Round about).
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa!huo upepo wake ni hatariDah hongera mkuu ,hii kitu naiogopea magari makubwa njiani namna yanavyokupita ,unaweza jikuta mtaroni na huwa hawathamini pikipiki ,
Vp hii changamoto ulikabiliana nayo vp ,maana ujanja wangu pikipiki mwisho mjini,
utunzaji wko tu mkuu na hizi mpya za gia 5 ni mapema kuziongelea coz kwenye game hazijamaliza hata mwakaTrue ila hizi za sasa nasikia sikia tu pasua kichwa kidogo
Upishane na Fuso na Horse zote hizo njiani? Aisee ni hatari.Hongera kijana, pia kuna jamaa alitoka mtwara to Iringa na Tvs!
Mi naendesha pkpk lkn kwa masafa yenu hayo naogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
sinoray haitetemeshi mapumbu kweli? usije ukaua uzazi mkuu kwa uroda wa bodaboda.Kila kitu kinawezekena sema sisi watanzania ni woga sana..
Mmi nimesafiri mara nne kwa pikipiki kutoka mbeya -bukoba via tabora na kwakuwa barabara ya sikonge ni mbovu majuzi nmenyookea singida-dom-iringa. chombo kikiwa ni pikipiki ya kichina aina ya SINORAY 150.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina mvuto sana mimi nimepata funzo kumbe unaweza safiri na pikipiki safari ndefu.Pili mtoa mada ametuelimisha tahadhari za kuchukua oil ya akiba na chain adjustment.Tatu boxer ni pikipiki ya nguvu sijui SUNLG ingekuwaje.
Mkuu mitetemo kwenye pikipiki ya mchina ni kawaida, kama una safari ndefu ukifunga vizuri tarpets,siti, chain,bush za mkasi na hub ya nyuma na engine mount mitetemo itakuwa kidogo.sinoray haitetemeshi mapumbu kweli? usije ukaua uzazi mkuu kwa uroda wa bodaboda.
Sunlg ingefika vizuri kama Hiyo Boxer.Ina mvuto sana mimi nimepata funzo kumbe unaweza safiri na pikipiki safari ndefu.Pili mtoa mada ametuelimisha tahadhari za kuchukua oil ya akiba na chain adjustment.Tatu boxer ni pikipiki ya nguvu sijui SUNLG ingekuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi madereva wa Kisbo huwa wanatumia kilevi gani?Ndo mana sipendi pikipiki ambazo ziko chini na hazina nguvu ..imagine una yamaha FZ 09 haka ka kitu ni 3cyl kama ka passo😁 nan anakupita hapo bara baran sipendi piki piki ndogo kwa jinsi unakuta imeminywa wee afu haiendi kiasi kwamba bus hizi zina vts lkn huzikimbii wanakupita wanavoweza hilo ndo tatizo lkn ukiwa na kitu cha maana li kisbo likikupita unaliungia nyuma