ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nondo gani hiyo ya 27,000 ambayo ilikuwa 17,000?Bro makusanyo kuongezeka pia hutokana na gharama za uzalishaji kuongezeka. Pamoja na makusanyo hayo bado matumizi yatakua makubwa.
Mfano rahisi. Nondo kwa sasa inauzwa sh 27000 kwa mikoani. Kabla ilikua sh 17000. Unategemea hapo makusanyo ya serikali hayataongezeka?
Kila raisi atayekuja makusaanyo yataongezeka sababu gharama za uzalishaji pia zinaongezeka. Makusanyo ya mkapa yalikua chini ya kikwete, ga kikwete yalikua chini ya Magufuli, ya Magufuli yapo chini ya Samia na atayekuja ya Samia yatakua chini.
Hivyohivyo na matumizi, enzi za mkapa darasa moja tulijenga kwa mil 3, sasa hivi darasa moja mil 20, atayekuja mbeleni huko darasa moja litajengwa kwa mil 40
Pia usishau kwamba Mkoani bato ya rangi gage 30 ni 430,000-450,000 kabla ya hapo ilikuwa 500,000 Kwa bandle,so leta hoja nyingine..
Mwisho Kati ya mifano yote uliyoitoa hakuna awamu ambayo Makusanyo yaliongezeka mara 2 ya nyingine isipokuwa ya Samia Kwa sababu amefanya vizuri kuliko Mwendazake..
Na takwimu zipo zinaonesha kwamba miaka 5 ya Mwanzo Kwa Kila Rais ,awamu ya Magufuli Kasi ya GDP ilipungua sana kama unabisha sema nikupe ushahidi..
Usitafutize sababu mfu kutetea failure