Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

hamna kitu hapo unafiki mtupu

hizi porojo zenu ni kwa ajili ya nyinyi wenye access na hayo magazeti mwananchi wa kawaida kule Kaliua hata hajui haya

mfano hayo mambo ya wizara ya afya yamechukuliwa hospitali ya Taifa mwanachi wa nanjilinji huku atabaki anashangaa asijui hata kama kuna kitu na namna hiyo kwa sababu wilayani kwake hamna

muogopeni Mungu
Wewe umeishiwa 😀😀😀😀

Asijue kwani ameugua akaenda hospital akashindwa kuona?

Maendelea kukutandika na wonders za Samia Kwa miaka 2,zamu ya Tamisemi
20230320_154757.jpg
20230320_154811.jpg
20230320_154816.jpg
 
Wewe chawa tu,kila kitu hakiendi hawamu hii miradi imekwama,uliwai sikia wapi Rais ananua magori badala ya madawa,madawati,mishahara bora?
Hater unahangaika sana Kwa wivu na maumivu 😁🙄

Usiwe unasema miradi imekwama kiujumla jumla Taja hata mmja uliokwama ukianza na hapo Mkoani kwako 🤣🤣
 
Kodi inakusanywa vizuri tu, japo bado kuna mianya ipo wazi.

Najua pia Kodi hutoka kwenye njia nyingi ikiwemo hiyo net income, lakini kwa nchi zetu hizi huko kwenye net income wanapigwa sana uhalisia. Tegemeo kubwa limebaki kwenye VAT
Kwenye kodi zinazokusanywa na TRA Income tax ni kubwa kuliko VAT
 
team praise tu hamna lolote augue aend e hospitali ya wilaya Kaliua akute theatre kama ya Muhimbili acha uongo wewe
Team mapambio leteni vya kwenu awamu ya 5 tuvione.

Awamu ya 6 tunaseleleka kama ifuatavyo 👇
20230320_154819.jpg
20230320_154813.jpg
20230320_154751.jpg
 
Habibu mchange Hana uhalali wa kusema Aya mambo kwani kipindi Cha nyuma alikuwa mnufaika wa ubabe kwani vipeperushi vyake vilitumika kuonyesha uzuri na SI ubaya.
Kwa maana hiyo huyu chizi ni kinyonga ana badirika kulingana na anavyo ona fursa hivyo tumpuuzie
 
Hizi zimejengwa kuanzia awamu ya tano
Walihitaji miaka mingapi kumaliza?

Kuna awamu ya 5 yeyete aliyejenga emd,ICU na vifaa vya tiba kama mri,CT scan,digital x-rays ? Acha upuuzi wako,hizo ni pesa za Msaada za uviko 19 sio kuropoka tuu na hakuna unachojua..
 
Banks kubwa hazikuwahi kutangaza hasara ila faida Yao ilishuka sana na pia mikopo Mingi waliyokopesha watu walishindwa kulipa Kwa sababu biashara zilikuwa haziendi..

Faida yanayopiga Kwa Sasa ni mara 3 zaidi ya walichopata miaka ya Mwendazake,usijitoe ufahanu..

Mwisho banks ndogo ndogo nyingi sana zilikufa na zingine kuwa merged out.
Na maisha ya watu yalikuwa rahisi sana. Sasa hivi mfumuko wa bei, ufisadi mkubwa.

Kwani benki zikipata faida ndogo na maisha ya watu takeaway nafuu kuna ubaya gani?

Welfare of the people ni muhimu kuliko wachache kupata faida kubwa huku maisha yakiwa duni.
 
Na maisha ya watu yalikuwa rahisi sana. Sasa hivi mfumuko wa bei, ufisadi mkubwa.

Kwani benki zikipata faida ndogo na maisha ya watu takeaway nafuu kuna ubaya gani?

Welfare of the people ni muhimu kuliko wachache kupata faida kubwa huku maisha yakiwa duni.
Watu gani hao unaowasemea? Maisha yangekuwa rahisi ungesikia vyuma kukaza na Biashara kufunga?

Saizi unasikia biashara zikifingwa? Kama maisha ni magumu Sasa how comes watu Wanamaker pesa this time around than ever?

Awamu ya tano watu walikuwa wanakimbia Kukopa,banks zinaogopa kukopesha,ona saizi Hali ilivyo bwashee
20230311_083150.jpg


Investments ndio usiseme au unadhani vinafabywa na Serikali? Private sector na Namba Huwa hazidanganyi
20230311_083304.jpg
20230313_225559.jpg
20230313_225559.jpg
20230311_044432.jpg
 
Back
Top Bottom