Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

hakuna jipya hapa Covid mwamba ndio aliwatoa kimasomaso hizo scintific way zenu za chanjo njoo na takwmu hapa inayoonyesha ni watanznia wangapi wamechanja πŸ™
Mwamba wako ndio alileta chanjo? Bila chanjo Nchi Yako ilishaanza kutengwa Kwa kuambukiza wenzie 🀣🀣

Fukua taarifa zote unazozijua wewe Kwa Mwendazake ukipata habari kama hii hapa nitag

Mwamba wako ndio alileta chanjo? Bila chanjo Nchi Yako ilishaanza kutengwa Kwa kuambukiza wenzie 🀣🀣

Fukua taarifa zote unazozijua wewe Kwa Mwendazake ukipata habari kama hii hapa nitag

alete chanjo kwani unadhani alikuwa bendera fata upepo kama nyie,soma vizuri tatizo lenu hamuelewi mnakimbilia kujibu
 
alete chanjo kwani unadhani alikuwa bendera fata upepo kama nyie,soma vizuri tatizo lenu hamuelewi mnakimbilia kujibu
Bendera fuata upepo ndio Leo hii imetuletea wonders zifuatazo πŸ‘‡

Soma taratibu au niongeze nyama? πŸ”₯πŸ”₯
 
Nimekutolea mfano tu mmoja wa nondo, unataka kusema nondo hii bei ya 27000(mm 12) ilikuwa toka miaka ya zamabi?
Pia unasema bati imepungua bei? Nadhani hadi hapa sipaswi kuendelea na chochote ulichoandika
 
Kodi inakusanywa vizuri tu, japo bado kuna mianya ipo wazi.

Najua pia Kodi hutoka kwenye njia nyingi ikiwemo hiyo net income, lakini kwa nchi zetu hizi huko kwenye net income wanapigwa sana uhalisia. Tegemeo kubwa limebaki kwenye VAT
 
uongo ntupu huu ni mwendelezo wa sera na mazingira mazuri yaliyowekwa awamu ya tano chini ya mwamba makini JPM
🀣🀣🀣🀣🀣 Kwa hiyo sera zilikuwa zinamsubilia Samia si ndio? Kwa nini sera hazikufanya kazi miaka 6 mliyokuwa madarakani?

Utaweweseka Hadi ukome.Naendelea kukutandika soma taratibu Ukiwa umekunywa maji.
 
Point is hayati alikuwa anachungulia akaunti za watu na kupora pesa zao
 
Yote umemaliza mkuu,sina la kuongeza
 
Nimekutolea mfano tu mmoja wa nondo, unataka kusema nondo hii bei ya 27000(mm 12) ilikuwa toka miaka ya zamabi?
Pia unasema bati imepungua bei? Nadhani hadi hapa sipaswi kuendelea na chochote ulichoandika
Fala wewe mm 12 bei ya mwisho ilikuwa 22,000 mikoani,imeongezeka 5,000 tuu so acha uzushi ujenzi ndio field yangu hakuna utanidanganya..

Mwisho kama mazao yaneongezeka bei, biashara zinatoka so vipato vimeongezeka ndio maana unakuta speed ya ujenzi ni kubwa sana Toka Samia kaingia au nalo unabisha?
 
ukatubu leo kwa uongo huu unaokusanya wa kujikomba na wabongo mlivyowazuri wa kujikomba

habari za gazeti la mwannchi lililijaa uongo ndi unaniletea hapa kwanza klitashitakiwa kwa kuripoti habari za uongo kuhusu CRDB Bank Chato
 
😁😁😁😁😁 Hadi aibu,kama huamini nenda hospital,soon nahamia Tamisemi nikunyooshe vizuri..

Kazi nzuri ya mama connection soma hapa πŸ‘‡

😁😁😁😁😁 Hadi aibu,kama huamini nenda hospital,soon nahamia Tamisemi nikunyooshe vizuri..

Kazi nzuri ya mama connection soma hapa πŸ‘‡

hamna kitu hapo unafiki mtupu

hizi porojo zenu ni kwa ajili ya nyinyi wenye access na hayo magazeti mwananchi wa kawaida kule Kaliua hata hajui haya

mfano hayo mambo ya wizara ya afya yamechukuliwa hospitali ya Taifa mwanachi wa nanjilinji huku atabaki anashangaa asijui hata kama kuna kitu na namna hiyo kwa sababu wilayani kwake hamna

muogopeni Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…