Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

Wewe umeishiwa 😀😀😀😀

Asijue kwani ameugua akaenda hospital akashindwa kuona?

Maendelea kukutandika na wonders za Samia Kwa miaka 2,zamu ya Tamisemi
 
Wewe chawa tu,kila kitu hakiendi hawamu hii miradi imekwama,uliwai sikia wapi Rais ananua magori badala ya madawa,madawati,mishahara bora?
Hater unahangaika sana Kwa wivu na maumivu 😁🙄

Usiwe unasema miradi imekwama kiujumla jumla Taja hata mmja uliokwama ukianza na hapo Mkoani kwako 🤣🤣
 
Kodi inakusanywa vizuri tu, japo bado kuna mianya ipo wazi.

Najua pia Kodi hutoka kwenye njia nyingi ikiwemo hiyo net income, lakini kwa nchi zetu hizi huko kwenye net income wanapigwa sana uhalisia. Tegemeo kubwa limebaki kwenye VAT
Kwenye kodi zinazokusanywa na TRA Income tax ni kubwa kuliko VAT
 
team praise tu hamna lolote augue aend e hospitali ya wilaya Kaliua akute theatre kama ya Muhimbili acha uongo wewe
Team mapambio leteni vya kwenu awamu ya 5 tuvione.

Awamu ya 6 tunaseleleka kama ifuatavyo 👇
 
Habibu mchange Hana uhalali wa kusema Aya mambo kwani kipindi Cha nyuma alikuwa mnufaika wa ubabe kwani vipeperushi vyake vilitumika kuonyesha uzuri na SI ubaya.
Kwa maana hiyo huyu chizi ni kinyonga ana badirika kulingana na anavyo ona fursa hivyo tumpuuzie
 
Hizi zimejengwa kuanzia awamu ya tano
Walihitaji miaka mingapi kumaliza?

Kuna awamu ya 5 yeyete aliyejenga emd,ICU na vifaa vya tiba kama mri,CT scan,digital x-rays ? Acha upuuzi wako,hizo ni pesa za Msaada za uviko 19 sio kuropoka tuu na hakuna unachojua..
 
Na maisha ya watu yalikuwa rahisi sana. Sasa hivi mfumuko wa bei, ufisadi mkubwa.

Kwani benki zikipata faida ndogo na maisha ya watu takeaway nafuu kuna ubaya gani?

Welfare of the people ni muhimu kuliko wachache kupata faida kubwa huku maisha yakiwa duni.
 
Watu gani hao unaowasemea? Maisha yangekuwa rahisi ungesikia vyuma kukaza na Biashara kufunga?

Saizi unasikia biashara zikifingwa? Kama maisha ni magumu Sasa how comes watu Wanamaker pesa this time around than ever?

Awamu ya tano watu walikuwa wanakimbia Kukopa,banks zinaogopa kukopesha,ona saizi Hali ilivyo bwashee

Investments ndio usiseme au unadhani vinafabywa na Serikali? Private sector na Namba Huwa hazidanganyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…