AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
So wewe kwa elimu yako ya chuo kikuu unafikiria kutenga robo Tatu ya bajeti kwa kufanya Mambo yasiyo ya maana ndio maendeleo!?Naona wewe ndio huelewi haya mambo, na kwa uliyosema hata kujaribu kukuelimisha itakuwa ni kupoteza muda wangu. Unahitaji shule ya muda mrefu sana