Nilishaeleza kwanini hatupaswi kuona ni kosa kwa Tanzania kukopa fedha za miradi kutoka nje, kwa kuwa tusipokopa athari zake ni hizi hapa

Nilishaeleza kwanini hatupaswi kuona ni kosa kwa Tanzania kukopa fedha za miradi kutoka nje, kwa kuwa tusipokopa athari zake ni hizi hapa

Naona wewe ndio huelewi haya mambo, na kwa uliyosema hata kujaribu kukuelimisha itakuwa ni kupoteza muda wangu. Unahitaji shule ya muda mrefu sana
So wewe kwa elimu yako ya chuo kikuu unafikiria kutenga robo Tatu ya bajeti kwa kufanya Mambo yasiyo ya maana ndio maendeleo!?
 
Back
Top Bottom