AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,659 Reaction score 2,827 Jan 14, 2023 #41 Synthesizer said: Naona wewe ndio huelewi haya mambo, na kwa uliyosema hata kujaribu kukuelimisha itakuwa ni kupoteza muda wangu. Unahitaji shule ya muda mrefu sana Click to expand... So wewe kwa elimu yako ya chuo kikuu unafikiria kutenga robo Tatu ya bajeti kwa kufanya Mambo yasiyo ya maana ndio maendeleo!?
Synthesizer said: Naona wewe ndio huelewi haya mambo, na kwa uliyosema hata kujaribu kukuelimisha itakuwa ni kupoteza muda wangu. Unahitaji shule ya muda mrefu sana Click to expand... So wewe kwa elimu yako ya chuo kikuu unafikiria kutenga robo Tatu ya bajeti kwa kufanya Mambo yasiyo ya maana ndio maendeleo!?