Robert unataka Zanzibar iwe mkoa wa Tanganyika?!!! Hayo maneno akiongea magu tunampiga mawe hapo hapo sada wewe unabahati hapo ulipo mshukuru muumba wako.😀 😀 😀 😀
Mkuu mbona wanitisha asee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Robert unataka Zanzibar iwe mkoa wa Tanganyika?!!! Hayo maneno akiongea magu tunampiga mawe hapo hapo sada wewe unabahati hapo ulipo mshukuru muumba wako.😀 😀 😀 😀
Mkuu mbona wanitisha asee!
Nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria tulizojiwekea,si kwa mujibu wa mawazo ya mvuta bangi mmoja anavyojisikiaMtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.
Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Hama nchi Muungano hawezi kuvunjwa na Lissu ama Seif. Watanyooka tu!Tunataka Zanzibar yetu tuimiliki kwa imaan yetu maana munazidi kujenga makanisa tu mutuachie unguja yetu tumechoka.
Basi mwambieni huyo mgombea wenu, kukinukisha ni kuvunja sheria pia.Nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria tulizojiwekea,si kwa mujibu wa mawazo ya mvuta bangi mmoja anavyojisikia
Mbona unajifanya hamnazo, unajifanya huelewi lugha ya kiswahili na kupotosha anachokisema Lissu. Kama huelewi bora kuka kimya kuliko kupotosha.Mtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.
Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Atatofautisha vipi kushindwa kwa haki na kusiko kwa haki wakati hakiamini chombo chochote kinachohusika katika usimamizi wa uchaguzi?Mbona unajifanya hamnazo, unajifanya huelewi lugha ya kiswahili na kupotosha anachokisema Lissu. Kama huelewi bora kuka kimya kuliko kupotosha.
Unachokifanya ndio uchochezi wenyewe unaojifanya kuupinga.
Lissu amesema akishindwa kwa haki hana neno na mtu lakini sio vinginevyo.
Sasa wewe kwa kuwa nia yako ni kuleta uchochezi umeamua kupotosha kwa kusema Lissu amesema akishindwa ataingiza watu barabarani.
Acha upotoshaji/uchochezi, madhara yake usidhani wewe yatakupitia mbali.
Jitahidi kuwa matured.
Amani haiji ila kwa njia ya upanga.basi mwambieni huyo mgombea wenu, kukinukisha ni kuvunja sheria pia.
Wewe zako ziko makalioni,TAIFA maana yake unajua?Lisu ni adui wa taifa sijui kwanini wanamuacha huyu kiumbe. Umoja na undugu wetu ni muhimu kuliko mpumbavu mmoja
Unajua siri ya kimya chote cha Magufuli pamoja na jeuri yake?Mtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.
Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Hivi unadhani ni kwanini Magu ametulia kama ananyolewa?Mtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.
Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Kwa hiyo mkiimiliki znz yenu inamaana makanisa hayatajengwa? Kama ni hivo Bora ccm iendelee Tu. Udini hatuutaki, kila mtu aabudu kile akitakacho.Tunataka Zanzibar yetu tuimiliki kwa imaan yetu maana munazidi kujenga makanisa tu mutuachie unguja yetu tumechoka.
Kwa hiyo mkiimiliki znz yenu inamaana makanisa hayatajengwa? Kama ni hivo Bora ccm iendelee Tu. Udini hatuutaki, kila mtu aabudu kile akitakacho.
Mwamba kwani CCM ndo inajenga makanisa? Ccm itoeni but makanisa yetu yaacheni kama yalivyoCCM itatoka tu safari hii kama noma na iwe noma zanzbar ni nchi huru tunataka zanzbar yetu
Mwamba kwani CCM ndo inajenga makanisa? Ccm itoeni but makanisa yetu yaacheni kama yalivyo