- Thread starter
-
- #41
Mwanangu kusema ukweli yule manzi sio bikra ndio maana inaniuma kishenz kutoa hizi miti mitatu(3M), alafu istoshe wakati namfukuzia alikua bado na utando mamen,Million tatu ni nyingi halafu ukute siyo bikra hiyo itazidi kuwa nyingi ni kama mill 300 hivi utaiona.
Mimi niliambiwa mill 2 nikasusa wife akaitwa ndani mbona mchumba mwenyewe mkaidi akasema kwa muda tuliokaa kwenye mahusiano (miaka saba) yeye atakuja hata bure mshenga akaitwa akaulizwa nina bei gani nikasema 500K akanishauri hiyo wataona kama nimewadharau ongeza tatu iwe 800K nikalipa 400K nadaiwa 400K na mpango wa kuilipa sina wala sijawahi ulizwa mwaka wa 12 huu.
Kwenye Harakati za kupotezana kama miaka mitatu hivi alipata mchizi wa umri wake mimi kwake nimemzid age miaka 10 kwahyo kashabomolewa ukuta yeye alikiri hilo mwenyewe, swezi toa hiyo hela yote
Nikaona sio kesi kwasababu karidhia niende kwao, kufika wazazi wa kikinga wakadinda mkuu wanataka 3M, na protocol zote za sherehe🥶