Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

Million tatu ni nyingi halafu ukute siyo bikra hiyo itazidi kuwa nyingi ni kama mill 300 hivi utaiona.

Mimi niliambiwa mill 2 nikasusa wife akaitwa ndani mbona mchumba mwenyewe mkaidi akasema kwa muda tuliokaa kwenye mahusiano (miaka saba) yeye atakuja hata bure mshenga akaitwa akaulizwa nina bei gani nikasema 500K akanishauri hiyo wataona kama nimewadharau ongeza tatu iwe 800K nikalipa 400K nadaiwa 400K na mpango wa kuilipa sina wala sijawahi ulizwa mwaka wa 12 huu.
Mwanangu kusema ukweli yule manzi sio bikra ndio maana inaniuma kishenz kutoa hizi miti mitatu(3M), alafu istoshe wakati namfukuzia alikua bado na utando mamen,

Kwenye Harakati za kupotezana kama miaka mitatu hivi alipata mchizi wa umri wake mimi kwake nimemzid age miaka 10 kwahyo kashabomolewa ukuta yeye alikiri hilo mwenyewe, swezi toa hiyo hela yote

Nikaona sio kesi kwasababu karidhia niende kwao, kufika wazazi wa kikinga wakadinda mkuu wanataka 3M, na protocol zote za sherehe🥶
 
Mwanangu kusema ukweli yule manzi sio bikra ndio maana inaniuma kishenz kutoa hizi miti mitatu(3M), alafu istoshe wakati namfukuzia alikua bado na utando mamen,

Nikaona sio kesi kwasababu karidhia niende kwao, kufika wazazi wa kikinga wakadinda mkuu wanataka 3M, na protocol zote za sherehe🥶
Mkuu hiyo ilikuwa inaenda kuwa big lose nakwambia.

Hao wazazi walitaka hela ya kuongeza mtaji duka lao la nguo za kichina pale Congo tu hawana lolote.mill 3 halafu kopo?watu wamechafua shuka chini ya hiyo leo bila aibu wanakomaa kunadi makopo achana nao,bahati mbaya sana wapo wanaopigwa kwa style hii.
 
Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili

Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka
Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani,, Harusi kubwa hivi vilinikimbiza.

👉Hata hivyo sijawahi kufikiria kuchangisha watu ili nifanye sherehe na Sina huo mpango

👉Mwisho, Binti aliniambia nitafute pesa nikizipata nirudi kwao lakini maamuzi niliyoamua nitaishi na mwingine nitakaekutana nae mbele ya safari ya utafutaji wangu
Hongera mkuu!move forward quick, you are the winner.
 
Mkuu nahisi labda mwanamke hakutaka kukupambania alikata tamaa. Mimi pia nilichumbia kwenye familia yenye unafuu mkubwa kiuchumi kuliko familia yangu. Imagine ni binti wa pekee wazazi walimsomesha kwa pesa zao hadi chuo kwa 100%. Lakini familia yake ilinipenda sana aisee. Mwenyezi Mungu atakufungulia milango mingine....
Ni kweli kimtindo Huyu demu kwao yuko njema mafao yapo si unajua tena wakinga.
Mkuu hiyo ilikuwa inaenda kuwa big lose nakwambia.

Hao wazazi walitaka hela ya kuongeza mtaji duka lao la nguo za kichina pale Congo tu hawana lolote.mill 3 halafu kopo?watu wamechafua shuka chini ya hiyo leo bila aibu wanakomaa kunadi makopo achana nao,bahati mbaya sana wapo wanaopigwa kwa style hii.
Mkuu Saint Anno II kwao wako njema mboga saba mzee ila I feel like vitu vyenye cost sana kama kudumu ni mbinde
 
Sijutii Huyu binti Nilianza kumfukuzia akiwa Chuo mwaka wa kwanza! Mimi nipo kwny mishe zangu kipind hcho akaniambia yeye bado mdogo nmuache focus kwny masomo kamaliza chuo nikaja kumfuata

Mahari ndo ikaja hivo
Alafu pia mahali Huwa hailipwi yote
 
Mpe kishika uchumba (Mimba) baadae watakuita wenyewe mwongee na ukiona wanakaza unampa nyingine, yaani watakuita wenyewe na kukuliza una shilingi ngapi?Hapo sasa ww ndiye unakuwa mpanga mahali.
 
Ongea naye kwa kina ,mahari haijawa tatizo la kuzuia mtu kuoa,Ongea vizuri na wazazi wa Binti watakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom