Kweli wamezoea maana hata wale wanaouza samaki wabichi nilishangaa jamaa aliweka soda haijafungwa kizibo alibakiza akaitoa kwenye jokofu lenye uvundo wa samaki akainywa fresh tu!! Ukizoea unaona kawaida.Amezoea mazingira ya ofisi yake
alikuwa mwafrika au mzungu??sitegemei mtu mweus anaweza kufanya hivyoAcha kuingilia kazi za watu. Je, nikikwambia kuwa nilikwisha mfanyia operesheni mwanaume ambaye alikuwa anatumia tango kujipa raha kwa njia ya haja kubwa kwa bahati mbaya likatumbukia ndani. Baada ya kulitoa manesi walilimenya tukala hapo hapo theatre/chumba cha upasuaji. Of course lilisafishwa kwa maji kwanza kabla ya kumenywa. Lilikuwa kubwa kiasi kwamba sikula chakula cha jioni siku hiyo. Kazi ilikuwa kuamka kwenda msalani kukojoa.
alikuwa mwafrika au mzungu??sitegemei mtu mweus anaweza kufanya hivyo
Eiiiii.... Ngoja na Mimi ninyooshe... UmenikumbushaDuu...
Ngoja nikapasi nguo za kesho ofisini kwanza kabla umeme haujakatika
Sawa mkuu[emoji23][emoji23]Eiiiii.... Ngoja na Mimi ninyooshe... Umenikumbusha
Ooooohhhwshinyanga nilishuhudia miaka ya nyuma akiweka mhudumu akiweka nyama aliyonunua buchani bila hofu
[emoji2][emoji2][emoji2].... Hii Mimi pia nlushafanya.. ila iwe imefungwa isiwe wazi itanuka shombo ya samakiKweli wamezoea maana hata wale wanaouza samaki wabichi nilishangaa jamaa aliweka soda haijafungwa kizibo alibakiza akaitoa kwenye jokofu lenye uvundo wa samaki akainywa fresh tu!! Ukizoea unaona kawaida.
Waungwana kwema ?
Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).
Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.
Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.
Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.
Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee.Waungwana kwema ?

Unashangaa maiti hiyo, mie niliona mga maji akitolewa ziwani kwa kutumia kokoro akiwa hana ngozi pamoja na macho. Watu wakawa wanasema macho yake yameliwa na samaki, kumbuka kwenye kokoro kulikiwa na samaki wengi cha ajabu nilicho kiona mimi ni namna watu walivyo kimbilia samaki na kuuacha mwili.Waungwana kwema ?
Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).
Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.
Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.
Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.
Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
Duh, kweli hii mkuu?Acha kuingilia kazi za watu. Je, nikikwambia kuwa nilikwisha mfanyia operesheni mwanaume ambaye alikuwa anatumia tango kujipa raha kwa njia ya haja kubwa kwa bahati mbaya likatumbukia ndani. Baada ya kulitoa manesi walilimenya tukala hapo hapo theatre/chumba cha upasuaji. Of course lilisafishwa kwa maji kwanza kabla ya kumenywa. Lilikuwa kubwa kiasi kwamba sikula chakula cha jioni siku hiyo. Kazi ilikuwa kuamka kwenda msalani kukojoa.
Huenda labda walijumuishwa na wao maiti watarajiwa.Kisa cha miaka miwili iliyopita ndiyo umekumbuka leo??
Na hiyo siku mlipoingia mortuary ndiyo siku maiti zilipojaa sana !!!!
Nilikuwa na project fulani ya Biomedical kwa kushirikiana na Hospitali ya Mayo Clinic kule Rochester, MN. Hospitali ile iko vizuri sana kwa utafiti wa tiba; walikuwa wanataka kujua sehemu nzuri za kuweka sensor kwenye ankle na kwenye knee ili kutafiti namna ya kutibu watu wenye matatizo ya arthritis sehemu hizo. Kuna numerical models na dummies ambazo huwa tunatumia kwenye research, sasa siku hiyo wakatuonyesha mwili halisi. Jamaa alifungua freezer iliyokuwa na maiti, ila mguu wa maiti ile ulikuwa umeshakatwa kama buchani ili kutenganisha fupa la goti na kisigino. Nilitoka kule na kichefuchefu sikula nyama kwa muda mrefu sana; kwa sababu fupa lilikuwa linaonyesha nyama ya mtu utadhani ya ngombe tu.Waungwana kwema ?