Nilishtuka nilipomwona mhudumu wa mortuary akihifadhi embe kwenye jokofu lenye maiti Hospitali ya Temeke

Acha kuingilia kazi za watu. Je, nikikwambia kuwa nilikwisha mfanyia operesheni mwanaume ambaye alikuwa anatumia tango kujipa raha kwa njia ya haja kubwa kwa bahati mbaya likatumbukia ndani. Baada ya kulitoa manesi walilimenya tukala hapo hapo theatre/chumba cha upasuaji. Of course lilisafishwa kwa maji kwanza kabla ya kumenywa. Lilikuwa kubwa kiasi kwamba sikula chakula cha jioni siku hiyo. Kazi ilikuwa kuamka kwenda msalani kukojoa.
alikuwa mwafrika au mzungu??sitegemei mtu mweus anaweza kufanya hivyo
 
Mkuu mbona hushangai madaktari wanavyofanyia dissection miili na viungo vya watu waliokufa wanapokuwa kwenye mafunzo yao na wale wanaofanyia uchunguzi miili ya marehemu, au ukiwakuta utatoka nduki....hizo ni taaluma za watu wala zisikusumbue..
 
Kweli wamezoea maana hata wale wanaouza samaki wabichi nilishangaa jamaa aliweka soda haijafungwa kizibo alibakiza akaitoa kwenye jokofu lenye uvundo wa samaki akainywa fresh tu!! Ukizoea unaona kawaida.
[emoji2][emoji2][emoji2].... Hii Mimi pia nlushafanya.. ila iwe imefungwa isiwe wazi itanuka shombo ya samaki
 
Kuna jamaa yeye alikua hospitali ya Amana miaka mingi huko nyuma alikua yeye anawaingilia marehemu wazuri wazuri walioletwa mortuary huku akiwananga kwamba mnaringaga sana nyie etc etc ila jamaa alikujaga kupata ngoma ndo ikawa mwisho wa habari yake...
 
Waungwana kwema ?

Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).

Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.

Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.

Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.

Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.

Hakuna ukatili hapo mzee ni swala la mazoea na kazi . Wahudumu wa mortuary ni vingi wanafanya vya ajabu mno.
 
Waungwana kwema ?

Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).

Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.

Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.

Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.

Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee.
 
Unashangaa maiti hiyo, mie niliona mga maji akitolewa ziwani kwa kutumia kokoro akiwa hana ngozi pamoja na macho. Watu wakawa wanasema macho yake yameliwa na samaki, kumbuka kwenye kokoro kulikiwa na samaki wengi cha ajabu nilicho kiona mimi ni namna watu walivyo kimbilia samaki na kuuacha mwili.
 
Acha kuingilia kazi za watu. Je, nikikwambia kuwa nilikwisha mfanyia operesheni mwanaume ambaye alikuwa anatumia tango kujipa raha kwa njia ya haja kubwa kwa bahati mbaya likatumbukia ndani. Baada ya kulitoa manesi walilimenya tukala hapo hapo theatre/chumba cha upasuaji. Of course lilisafishwa kwa maji kwanza kabla ya kumenywa. Lilikuwa kubwa kiasi kwamba sikula chakula cha jioni siku hiyo. Kazi ilikuwa kuamka kwenda msalani kukojoa.
Duh, kweli hii mkuu?
 
Kisa cha miaka miwili iliyopita ndiyo umekumbuka leo??

Na hiyo siku mlipoingia mortuary ndiyo siku maiti zilipojaa sana !!!!
Huenda labda walijumuishwa na wao maiti watarajiwa.
 
Hayo majamaa sio poa.

Nakumbuka tulipeleka maiti 3 mortuary zilitoka sehemu sehemu ya ujambazi(kupigwa risasi),kufika pale tukawa tumashusha kwa staha kidogo,maana vichwa vilikuwa vimetoboka.
Jamaa moja likaja na ile trailer ya kubebea maiti,likaivuta maiti kutoka kwenye gari na kuiachia (kapaaa)kwenye lile trailer ilarusha ubongo na damu ukatua ktk suruali yangu[emoji31][emoji31][emoji31],likacheka sana,huku mimi nikiwa nimeduwaa nisijue nafanyaje pale,maana groves zote mikononi zilikuwa zimejaa damu.likaburuza ile trailer mpaka ndani likatoka na dawa na kunawia,aisee niliirowanisha nguo yote wala sikujali.

Maiti anatisha wadau[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Waungwana kwema ?

Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).

Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.

Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.

Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.

Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
Nilikuwa na project fulani ya Biomedical kwa kushirikiana na Hospitali ya Mayo Clinic kule Rochester, MN. Hospitali ile iko vizuri sana kwa utafiti wa tiba; walikuwa wanataka kujua sehemu nzuri za kuweka sensor kwenye ankle na kwenye knee ili kutafiti namna ya kutibu watu wenye matatizo ya arthritis sehemu hizo. Kuna numerical models na dummies ambazo huwa tunatumia kwenye research, sasa siku hiyo wakatuonyesha mwili halisi. Jamaa alifungua freezer iliyokuwa na maiti, ila mguu wa maiti ile ulikuwa umeshakatwa kama buchani ili kutenganisha fupa la goti na kisigino. Nilitoka kule na kichefuchefu sikula nyama kwa muda mrefu sana; kwa sababu fupa lilikuwa linaonyesha nyama ya mtu utadhani ya ngombe tu.
 
Back
Top Bottom