Nilishtuka nilipomwona mhudumu wa mortuary akihifadhi embe kwenye jokofu lenye maiti Hospitali ya Temeke

Hii dunia ina watu wakatili sana
 
Mbona kawaida tu hiyo vipi na wale wanaosafisha vidonda vya kisukari,kansa nk unawaambiaje wanatoka hapo wanakula nyama,wanakula ugali nk kitu ambacho ukiambiwa wewe tu uingie kwenye kile chumba chao na kushuhudia hutakula nyama mwaka mzima
 
Kwa kweli hawa jamaa nashindwa kuwaelewa Kama wako vizuri. Maana matendo yao huwa yanashangaza wakati mwingine.
 
Hiyo cha mtoto. Mimi nipo Hosp flan hapa Dar siku aliletwa maiti ya bibi kizee wa kihindi. Tukauliza nini chanzo cha kifo chake maana alikuwa ametoa macho kama ngumi. wakasema alikwamwa na Paja la kuku baadaye likashuka lakini ikawa late...

Wadau tulikuwa na njaa tukicheck mfukoni hatuna kitu...basi tulimkamua yule bibi kizee lile paja likatoka njia ya haja kubwa. Tukaosha tukagawana tukala.
 
Huo siyo ukatili bali ni kuchanganyikiwa.
Watumishi wengi wa mortuary akili zao wanazijua wenyewe!

Kuna siku tulipishana kauli na staff mmoja wa mortuary, akatamkia wazi kuwa ananisubiria ofisini kwake siku moja aje kunipamba!

Kabla hajanipamba ye'tayari alishavuta!

Hao ni kuwasamehe tu.
 
Mmh hii ngumu kumeza nimefanya kazi mochwari.. Nimefanya vituko vingi lakini hilo hapana kwakuwa linahusisha afya na miili kwenye jokofu huwa imepigwa formalin hivyo ni ngumu kuweka chakula mule na kumbuka pia kuna harufu ya maiti na mauti ndani ya jokofu... Na hata kama mhudumu atafanya vituko sio mbele ya watu wa kawaida
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Duuh we jamaa nawewe umepitia mambo mengi ama ndio ulikua unafanyia mambo yako ya uganga? Ilikua bongo ama sauzi.
 
Mbona mnatoka nje ya maada, mleta uzi kauliza huyo ni mtu au mzimu, afu nyie mnajadili viti vingine kabisa! Acheni hizo mambo
 
dah kudadeki
 
Mbona kawaida tu hiyo vipi na wale wanaosafisha vidonda vya kisukari,kansa nk unawaambiaje wanatoka hapo wanakula nyama,wanakula ugali nk kitu ambacho ukiambiwa wewe tu uingie kwenye kile chumba chao na kushuhudia hutakula nyama mwaka mzima
Niamini mimi mtu mzima hatishi,ukikuta ajali boda boda kavunjwa mguu au mkono damu zinamwagika na ni mzima,kitakachokuumiza ni uchungu tu wa kufikiri mtu kupoteza kiungo,lakini si kuchafukwa nafsi.

Kuta maiti helpeless zimekatika katika viungo,mara ubongo sijui umesambaa,budaaaa ndio utaelewa why jah man never eat flesh[emoji16][emoji16][emoji16].
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Duuh we jamaa nawewe umepitia mambo mengi ama ndio ulikua unafanyia mambo yako ya uganga? Ilikua bongo ama sauzi.
Huyo jamaa ni imortal[emoji1][emoji1][emoji1].

Ukifuatilia harakati zake,utajua.

Ananikera katika siasa tu,unajua ukiishakuwa na wafuasi wengi wanaokuamini,ni kheri ukaficha misimamo yako kwenye mambo ya siasa,ushabiki,nk.
 
But nigga,whyyyyyyyyyy!!!!!!
 
Nakumbuka kulikuwa na muhudumu wa mortuary Mawenzi Hospital, Moshi. Alikuwa albino. Aaa! Yule alikuwa kiboko aisee!! Huyo wako ni cha mtoto.
 
Omusolopogasi Ndio maana nasikia wajawazito wanatukanwa, kuzabwa vibao, inaelekea utu hamna. Sasa sababu ya kula hilo tango ni nini hasa? Hamna tango mitaani mpaka mle lililotolewa kwenye njia ya haja kubwa? Akili za wasomi wetu hazieleweki.
 
Ukatili kutoa embe kwenye jokofu? Wewe ndio katili mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…