Nilishtuka nilipomwona mhudumu wa mortuary akihifadhi embe kwenye jokofu lenye maiti Hospitali ya Temeke

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Waungwana kwema ?

Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).

Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.

Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.

Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.

Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
 
ila stry nying huw nasikia hawa raia akili zao huwa kama zimeruka so ni kawaida
 
kazi ukishaizoea haikusumbui..huyo wa mochuari keshazoea hizo maiti...
 
Hahaha hao ndugu baadhi ya nati zimelegea.

Wamezoea hao hawaoni cha kushangaza huko.
 
Acha kuingilia kazi za watu. Je, nikikwambia kuwa nilikwisha mfanyia operesheni mwanaume ambaye alikuwa anatumia tango kujipa raha kwa njia ya haja kubwa kwa bahati mbaya likatumbukia ndani. Baada ya kulitoa manesi walilimenya tukala hapo hapo theatre/chumba cha upasuaji. Of course lilisafishwa kwa maji kwanza kabla ya kumenywa. Lilikuwa kubwa kiasi kwamba sikula chakula cha jioni siku hiyo. Kazi ilikuwa kuamka kwenda msalani kukojoa.
Waungwana kwema ?

Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).

Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.

Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.

Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.

Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
 
Mbona kawida tu ,hata maji ya kunywa au juice huwa tunaweka kwenye majokofu ya kutunzia dam au dawa ,hospital ayo mambo kawaida sana mkuu
 
Waungwana kwema ?

Kweli ukiyashangaa ya Musa, usije kusahau kuwa kuna ya Firauni(Farao).

Kuna rafiki yangu alifiwa na ndugu yake wa karibu huko Temeke hospital yapata miaka 2 sasa. Ile namsindikiza mortuary kukamilisha hatua za kukabidhiwa mwili wa marehemu tulishikwa na mshangao jinsi maiti zilivyojaaa siku ile mpaka zingine kuwekwa chini.

Ile siku ndugu yetu mmoja mtumishi wa Temeke hospital anasema ndio siku iliyoongoza kwa vifo vingi kwa kipindi chote cha miaka 4 ya utumishi wake. Hiyo haikuwa takwimu rasmi ila alihisi tu kwa jinsi alivyotazama miili ikielekezwa mortuary.

Sasa cha kushangaza tunamwona mhudumu mmoja wa kiume akivuta jokofu na kutoa embe dodo kubwa bila wasiwasi kutoka kwenye jokofu lenye maiti. Bila wasiwasi alimwambia mwenzake kuwa embe lake limepoa na liko tayari kwa kuliwa.

Jamaa salute kwako, mpaka leo najiuliza hivi yule mtu kweli au zimwi, maana sio kwa ukatili ule.
Sasa ukatili upo wapi hapo labda ungesema ujasiri. Jokofu kiingereza ni fridge na fridge hua tunaweka matunda, nyama, mboga, vinywaji etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fridge hata binadamu kwa joto la dar ukiona joto limekuzidi unaweza jiingiza kwenye fridge upoe kidogo!! Luna mtani wangu mpare mfupi huyo huwa anajipoza Kwa kujiingiza kwenye fridge akiona joto
 
Back
Top Bottom